wakuu nimejaribu ku search lakini sijaona uzi unaozungumzia hii issue ya kununua laptops na sim online.
nataka kununua laptop moja lenovo x270, soko la bongo hapa kariakoo nilziona duka moja pale...
Mwaka 2013 nikiwa chuo kikuu kimoja jina kapuni katika kumalizia Masters yangu tulimpata jamaa mmoja jina limenitoka,alikuja na mpango mzuri wa kuunganisha Free Yotube streaming bila gharama...
Leo nimetembelea sehemu ya mbagala na viunga vyake hakika nimeipenda mbagala, maisha ni rahisi sana, na hakuna gharama ya vyakula, mihogo ya kukaanga, chips,matunda, kuku, samaki,nyama, na vyakula...
Samsung A7 (2018) inakuja na feature mpya ya camera 3 na uwezekano wa bei kupungua ili kushindana na simu za kichina.
Lakini Samsung katika siku za hivi karibuni, imeshambuliwa na ushindi kutoka...
Ndugu zangu naomba kusaidiwa ama kuambiwa ni nini hiki au nifanyeje ili kutatua maana imekuwa ni kero kwangu juu ya laptop yangu.
Model - Lenovo G 580
Windows- windows 7
Tatizo hili hutokea pale...
wadau!
masaada, hivi kuna njia au uwezekano wakubadili IP adress ya simu bila ku restore au ku flash simu?
wajuzi wa haya mavitu ningependa kufahamu hili
Wakuu salamu kwenu.!!Naomba kujulishwa duka linalotoa huduma hii kwa dar-es-salaam niweze kurepair tv yangu iliyoungua screen....ukiweka na bei ya gharama zote mpaka tv itengamae nitakushukuru...
Wakuu habarini za Muda. Mimi ni Member mgeni japo si sana.
Nina budget ya Milion moja. Natàka kununu Simu nzuri . Naombeni Mnishari simu nzuri kwa Experience yako na wapi naweza kununua. Na vipi...
Nimeona kwenye group mdau kashare jinsi alivyotapeliwa na jamaa anaeitwa haji seleman mwenye number 0715462543,
analia lia kwa uchungu,hivi TCRA mko wapi mpka mtu anajitambulisha kwa jamii kuwa...
Wakuu nimekaa na kufikiria nikaona bora nikaanzisha blog ambayo itahusisha miziki pamoja na muvi hususani season. Je kwa hili wadau na weza toboa hata kwa kiasi kidogo cha fedha
Mwenye kujua jinsi ya kuongeza follower insta anijuze hata DM akiweza lakini sio Yale mafollower ya kiarabu yasiyo na maana kikubwa sana ni wabongo wenzangu.
Habarini wanajukwaa.. kwenye pita pita zangu mtandaoni nimekutana na tangazo hili katika Page ya Facebook ya Tigo (Kama inavyoonekana kwenye Picha). Tigo inadai kuwa mtandao wa pili (Ingawa mpaka...
naomba msaada wa kufahamu apps kurunning background kwenye simu zinazotumia mfumo wa android nougat ukishaenda setting,apps,data usage,je pale kwenye neno background data unapaweka on yaani kuweka...
Wadau napenda kufahamu hivi makampuni ya nje kwa nini yasiuze internet hapa bongo?? nini kikwazo??
nakitaalamu limekaaje hili maana internet nibiashara kubwa kama ni possible kufanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.