Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Friza yangu haigandishi msaada plz
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Am learning web designing using html and css, it brings me headache, kuna mtu huko ana uzoefu wa hii kitu people I really need to master hii kitu. If u can provide help please contact me...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
leo nimeona niwashirikishe wale ambao wanaanza kujifunza photoshop na hata wazoefu.. tutengeneze kadi ya benki mfano wa tembocard, vifaa vinavyohitajika 1. photoshop CS+ 2. picha (google...
12 Reactions
54 Replies
7K Views
Wakuu Kuna SATA HDD inanisumbua ku allocate... Nikijaribu kuinitialize inaniambia data error (cyclic redundancy check) Naomba msaada wa ku solve hili tatizo plz
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hellow in here, please i am looking for a reliable supplier of forklift parts especially for HELI CPCD30/CPCD70 /CPCD100. Nitashukuru sana kwa msaada hata wa mawazo.
0 Reactions
1 Replies
473 Views
Nilikuwa naomba wenye uelewa wa haya mambo wanielekeze mfano ninataka kuandika a blog article, nitajuaje keywords za kutumia ili nipate ranking kubwa kwenye search engines hasa google.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello, habari nataka kujua kama naweza kujifunza programs za computer kupitia simu yangu maana sina uwezo wa kuzilipia huko madarasani, je inawezekana? Vitu kama excel, publisher...... Pia nataka...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Leo September 12 ni siku ambayo Apple ina launch device mpya. Katika hizo device imo pia Iphone Xs Max, ambayo itakuwa na na option ya double line kwa nchi ambazo hazi-support e-line techs. Hii ni...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
SPACE TRAVEL Consider a pair of brothers, identical twins. One gets a job as an astronaut and rockets into deep space. The other stays on Earth. When the traveling twin returns home, he discovers...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za jioni,Kuna anayejua kingamuzi chochote zaidi ya DSTV kinachoweza kuonesha League kuu England
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu habari za jioni. Mimi ni mwanachama mpya kabisa kwanza niwaombe mnikaribishe. Dhumuni la huu uzi ni kuomba kama kuna yeyote anayefahamu wapi naweza pata mwalimu wa kumfundisha mtoto wangu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nahitaji laptop yenye speed nzuri kwa ajiri ya kazi ya blogging. Naomba specification za kuzingatia ikibidi na brand ambayo angalau itaweza kudumu!!
0 Reactions
6 Replies
874 Views
Nashindwa kudownload application yoyote kwenye play store ya cm yngu at a kuuppdate inakataa, Yaani ukidownload au kuuppdate ikifka kwenye kuinstal unatokea kaajjumbe apo chini "Google play...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa namna ya kuweza kupata na kutumia whatsapp web. --------- WhatsApp was officially made available for PCs through a web client, under the name WhatsApp Web, in late January 2015...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Ningependa kujua game nzur ya multiplayer (android) either online, bluetooth au hata kama inatumia wifi, ambayo ya kucheza watu wawili
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni msaada wataalamu. Microsoft office yangu ya 2007 haifanyi kazi Mara baada ya wiki moja tangu nidownload. Ilikuwa inaniomba Key sasa mi sizijui napata wapi yaani. So nina vitu vingi vya...
0 Reactions
38 Replies
38K Views
Kuna hawa jama wanaitwa Bitdgree wao wana course hizo but zinauzwa bei ghari kwa wengi wetu hapa leo wameachia free course zao almost zote kujiunga wahi soon watazifunga ziwe paid tena Link hiyo...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina laptop Aina ya Sony Aomei yenye Windows10 lakini naona sasa imechoka nataka kuiwekea Windows 7 nimejaribu lakini binafsi nimeshindwa Mwenye utaalamu huo plz help.... [emoji17]
1 Reactions
3 Replies
330 Views
Wadau na wataalamu. Simu yangu ilikuwa na tatizo la mfumo Wa chaji. Unaweka chaji Leo basi mpaka kesho ni 3% tu. Nikanunua charger tatizo bado. Sasa nimepeleka kwa FUNDI akaniambia kuna tatizo...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Back
Top Bottom