Itatokea mara chache ambapo utataka kuangalia TV kwenye kompyuta au simu. Kuna kipindi uko mbali na tv yako, iwe hotelini au ugenini na una kompyuta karibu.
Pengine upo nyumbani na tvinatumika...
Salamu wana jamvi/jukwaa ni vyema kujifunza na kuielewa technology hii kifupi niseme ndani ya uzi huu hatutajifunza language yoyote inayoendana na kazi hii ila ukiwa na swali waweza uliza na wadau...
Habari Wakuu
Kama kichwa kinavosema,
Nina flash yangu nikiweka kwa computer inaonesha, "This device is write-protected " inayo nyimbo ndan na zinacheza vizuri tu, ila hazifutiki Wala kuformat...
Habari za mihangaiko ndugu zanguni,Nahitaji kujua mahali yalipo maduka yanayouza simu janja aina ya Nokia,sana sana kuanzia Nokia 6,7,7+,8 sirocci,kwa upande wa kanda ya ziwa au Arusha na moshi...
Wakuu mwenye expirience na hii smartphone ya nokia 6 , hasa kwenye betri, android, na mfumo mzima wa interface.
Maaana inauzwa so hatj msaada wa mawazo. Hasa nijue ubora wake kbla ta kununua ...
Tanzania Security Lists (passwords, usernames, e.t.c.), are lists locally based in Tanzania. This lists may help InfoSec Experts in Tanzania when perfoming pentesting. Any positive contribution to...
Wasalaam,kama kichwa kinavyojieleza.Simu yangu tajwa hapo juu iliandika hiyo meseji na siwezi kufanya chochote.Sasa watalaam hapa naomba msaada wenu kama kuna uwezekano simu hii inaweza kupona au...
Makundi ya mitandao ya kijamii ya WhatsApp huwa yanawasilisha umoja wa watu kuwa na malengo yanayofanana.
Lakini hali inakuwa tofauti kwa sababu inaonekana kwamba wengi wanashindwa kufuata...
Nimevutiwa sana na simu za iPhone hasa iPhone 6+ ila sijawahi kuitumia nimekuja kwenu mliowahi kutumia mnijuze mamba machache
(a) naomba kujua kuhusu ukaaji wa chaji
(b) naomba kujua ubora wa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
kila nikijaribu kununua kitu Online hususani mtandao
wa Aliexpress majibu ninayopata ni haya
"For security reasons this process can not be continued...
leo mida ya saa moja line yetu ya transfomer ilionekana kama ina hitilafu maana taa zilikuwa haziwak pamoja na vifaa vingine vya umeme, ila kabla ya kupata hitilafu nilikuwa nimeacha simu kweny...
Simu yangu Tecno Camon C9 headphone jack imezama au kukatika, ninapoweka earphone sauti haitoki au wakati fulani inatoka kwa kukatikakatika,je inatengenezeka na kama ndiyo fundi wa kutengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.