Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada wanajamvi Instagram yangu inaandika maneno hayo maalum wa mambo hayo please anisaidie kutatua
0 Reactions
3 Replies
641 Views
Wana bodi wataalam wa maswala ya computer...computer yangu inatafuna sana mb ata bila ya kufungua site yeyote.. Nadhani kuna vitu vinajiupdate automatically nifanyeje kuzuia hili jambo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Samahani wanajukwaa nimepatwa na tatizo la external harddisc inaukubwa GB 7500 yangu kuanguka na kusabisha kutokusoma. Nimewaona mafundi kadhaa sijapata msaada wowote. Kwa mwenye ufahamu plz...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naitaji min WiFi wireless Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Habari members. Wadau nifanyaje ili kushare bando kutoka katika simu(smartphone) nyingine?Msaada tafadhali.
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jamani naombeni msada sehemu ya kusoma cd kwenye pc yangu imepotea ghafla tu ata kwenye driver nikiangalia haiko cjui nn tatizo ila mlango unafunguka na kufunga bila matatizo
0 Reactions
3 Replies
529 Views
Kwa miaka mingi nilisumbuka sana kutafuta matangazo kwaajili ya blog na sasa nimepata matangazo ya popcash yanayolipa kwa wakati. Pia google AdSense matangazo yao yanalipa vizuri sana ila masharti...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Jioni njema Wadau popote mlipo, Nimekubaliwa kuweka popads kwenye wordpress yangu ila nimeshindwa jinsi ya kuweka codes walizonipatia kwenye editor/header php, Tafadhali naomba mwenye ufahamu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana nime download Sony PC Companion na kuinstall ili niweze kuiupate simu yangu kwa kuwa nimezoea kufanya hivyo katika simu zangu zote hasa Nokia Phone ambazo huwa natumia mara nyingi...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
disk yangu inaandika disk not initilized msaada wadau chief mkwawa
0 Reactions
9 Replies
627 Views
GIF
Habari wakuu? Msaada jinsi ya kutengeneza GIF ya passport size.[emoji135][emoji135]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Napata changamoto huku Nipo mkoani huku web designer siwaoni huku tayari nina site hii Gulio Store ya kuuza na kununua nahitaji mtu aiconvert kuwa App ila nahitaji mtu ambaye amesajiliwa na jf...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau habari zenu i hope mko poa.Tujuzane jinsi ya kutumia na kuseti feature za developer option. Asante
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habar wana janvi.. Nimekosea wakati na instal whatsap na kufanya registration NIME SKIP BACKUP.. naweza pata skiped backup? İli niweze pata info na chat za nyuma?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hatua kwa hatua maelekezo 1) saini katika akaunti yako facebook 1) Copy orodha ya barua pepe,. Katika "mass add email" ukurasa http://www.facebook.com/pages/MASS-AD... 2) Click link hii...
1 Reactions
17 Replies
20K Views
Namshukuru sana huyu jamaa kwa ujuzi na mbinu aliyoitoa hapa jf kuhusiana na kupiga hela nyingi kupitia adsense bila kuvunja sheria zao japo alinikazia sana nilipomfata PM lakini ndio alinipa moyo...
0 Reactions
5 Replies
600 Views
......
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Nimekuwa niki-design vifaa mbaimbali vya electronics,this time naomba nikuletee kifaa kinacho itwa POWER DUMPER! POWER DUMPER nimekiita hivyo kutokana na kinavyofanya kazi,ifahamike...
15 Reactions
55 Replies
11K Views
Habarini wana jamvi, naomba msaada, kwa anayefahamu program itakayo niwezesha kutafsiri kitabu ambacho nimeki download kwenye simu, kama ilivyo Google Translate.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom