Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naitaji kumtumia mtu app .jenaweza kutuma kwa njiaa ya WhatsApp.mana mtu uyo yupo mkoa tofauti Na nilipo au kama kuna njia nyngine .msada tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu nawekaje voucher/pesa kwenye modem yangu ya tigo kutumia cmputer. Namaanisha pasipo kutoa line na kuweka kwenye sim Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mniunge kwenye group la ICT kama itawezekana,napenda kujifunza zaid mambo ya Technology...Namba yang Ni 0656737883 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Nina uhakika hili ni jukwaa sahihi kwa tatizo lililo nikuta. Leo mida ya saa 6 na 15 mchana nili tuma pesa kimakosa, haikufika kwa mlengwa, ilienda kwa mtu tofauti. Nili jaribu kuwa pigia customer...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Salaam kwenu wakuu ,tujuzane jinsi ya certify simu mfano sumsung toleo lolote make kuna kipindi mtu anataka kuinstall application unakutana na ujumbe kama huu lakini sio mbaya tukijuzana...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Habari zenu. Naombeni msaada jinsi ya kufuta vitu moja kwa moja kwenye simu , yaani nikifuta nimefuta hata mtu akifanyaje visirudi. Maana huwa nafuta halafu mtu baadae anavisearch vyote...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
msaada nawezaje kutengeneza table relationship kwenye mysql? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
504 Views
msaada nawezaje kutengeneza table relationship kwenye mysql? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
693 Views
na pia nisipokua na email inakuaje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
na pia nisipokua na email inakuaje?
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau kwema, Recently nine download pc games za kutosha katika laptop yangu. Files ziko zipped katika .rar nimetumia winzip ku unzip ila swala la kusikitisha zile files kumbe ziko encrypted...
1 Reactions
4 Replies
743 Views
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Nimeangusha Samsung S8 imepasuka naulizia Bei Ya kioo Yaweza kuwa Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Heshima kwenu wakuu. Aisee hebu nisaidieni wakuu nna file ipo kwenye simu ila ni pdf file sasa nataka ni-edit kwa kutoa baadhi ya maneno na kuongeza mengine. Ni app gani nitumie ku-edit...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom