Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina Laptop Ina window 8 na Google Chrome nikiconnect internet inaconnect Vizuri kabisaa lakini nikiongia Google Chrome ili ni browse haibrowse Japo Internet ipo Strong Sana The same Internet...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
wakuuu heshima kwenu naombeni msaada wa code ya kuaunlock hiyo simu itumie line zote..so far inatumia line ya voda tu. nwakilisha!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wakuu naomba msaada wa set up au website salama kwa ajiri nipate GTA VICE CITY FOR WINDOWS 7 kama una set up ile naomba niwekee hapa tafadhari au website niandikie hapa nikapakue wakuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji Mtaalamu wa Wordress (Wordpress Developer) anicheck inbox tufanye kazi
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Wakuu naombeni kujua jinsi yakuingiza game za ps2 kwenye android yenye ppsspp bila kuzidownload.... Kwakutumia USB cable Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za mida wakuu, naombeni msaada ni jinsi gani naweza kucheza Uefa na europa tournament kwenye hii game, maana nimejaribu lakini nimeshindwa, pia ni vipi naweza kupata wachezaji wazuri, wenye...
0 Reactions
2 Replies
579 Views
Wakuu salaamu Ningependa kujua ni game gani la Pes la miaka kutoka 2015 kuja 2018 ambalo ni offline. Ikiwezekana naomba kusaidiwa link ya game. Ahsante. Chief Mkwawa Mwl.RCT
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Habari zenu? Naombeni mnishauri kung'amuzi kizuri na bei zake nipo Dodoma na shida na king'amuzi ila sijui kipi ni kizuri zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Naomba kuuliza ivi ukitaka kufuta mesage ambayo umekosea kwenye group inakaa muda gani baada ya hapo option ya ku dellete all inapotea maana nimekosea nimetuma mesage kwenye group baada ya nusu...
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Habari wana JF, Kwanza napenda kuwatakia sikukuu njema ya Eid Al Adha, Natumaini wote humu mnaendelea salama na mko tayari kujifunza maujanja haya. Kwa kuanza naomba niombe radhi sana mara nyingi...
4 Reactions
18 Replies
9K Views
Wakuu nimeweka hii telegram Kwa simu yangu hii Itel32 nashindwa kufuta chats(delete chats) naomba msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Habari wanajamvi, samahani naombeni mnisaidie app ambayo inaficha application, maana nimejaribu kuingia playstore naona nyingi zinailock tu, mimi nahitaji ambayo inaficha kabisa, yani mtu haioni...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wenu katika hili... Nina redio ya kenwood ya kupanga kubwa Lkn mara nyingi ninapenda kuitumia katika kusikiliza mziki Mpaka nikonnect waya ya av to audio kwenye cm ndo niweze...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kioo cha laptop yako ya macbook kimecrack?njoo nikuuzie cover lake likiwa jipya kabisa.Bei 90,000 na maelewano yapo. DM kwa taarifa zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Habari wana jukwaa hili pendwa Msaada ps3 nikiiwasha inaonesha mwanga wa njano then inazima,nmeinunua mwezi ulopita na sijaiangusha wala kuigonga na mahala popote Niliwapelekea pale dukani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wana JF na poleni na mjukumu ya kila siku Leo naomba msaada kwa hili, nimepakua app ya Euro truck ya kwenye Android, ni apk ila ninapoifungua inaniambia There was a problem parsing the...
0 Reactions
2 Replies
751 Views
nina pc aina ya dell inakuwa inaonesha rainbow mistari kwa lcd had inakuwa nyeusi pia baada ya muda taa ya chaja yake ikawa inawaka kama headcater (dimming) na haijachi tena ila inachaji kwenye pc...
0 Reactions
5 Replies
835 Views
In this guide, we’ll be showing you the way you’ll connect your Samsung Galaxy Note 9to TV easily. The Samsung Galaxy Note 9 features a 6.4-inch Screen that is taken into account large enough by...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Hivi hizi tv za digital hasa hizi flat unatumia kifaa gani kupata fta bila king'amuzi ? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom