Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam ndugu zangu nimetengeneza app nyingine kwaajili ya workout ipo playstore inaitwa MAZOEZINI app hiyo itakusaidia kujua Jinsi ya kufanya mazoezi kwaajili ya mwili wako wote kwa ujumla. Pia...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
The CHROMECAST of Google is definitely one amongst the most helpful gadgets. whereas it’s true that we’ve at our disposal a number of alternatives, the Google solution is absolutely complete. And...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Huawei Y3-ll/LUA22 Unlocking code..pls
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Wakuu habari zenu, mimi natumia simu ya zamani kidogo Sumsung galaxy grand neo ambayo android version yake ni 4.2.2, zamani niliinstall app ya dream league soccer 2017 na nilikuwa nalicheza fresh...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
sorry.! Members kuna MTU anayefahamu jinsi ya ku update android version 5.02 kwenda 6 au 7 kwa simu ya tecno Camon C5 ? Msaada please. :(
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba msaada kutatua tatizo hili.Natumia Sony Xperia z2. Nimekuwa nikiitumia miaka yote kuconnect wireless Internet kwenye pc yangu.Ila leo imegoma na kunitolea ujumbe huu hapa. Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
534 Views
Double Click for Publishers (DFP) hiki ni kitu kipya kimeongezwa na google ili kuwasaidia wanaozisaka dola mtandaoni kuendelea kupiga pesa.tofauti ya DFP na Adsense ni kwamba DFP ni Ads Sever na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
wakuu habari za muda ,nilikuwa natumia pc yangu muda si mrefu then nikaizima baadae kidogo nikaiwasha tena,nilivyoiwasha naona baadhi ya mafaili yangu mengi sana hayafunguki halafu wananiwekea...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari members!! Nimefuta vitu vyangu vyote kwenye smartphone yangu ikiwemo picha na video na vinginevyo Vingi kiujumla vyote,so simu ipo kama nilivyonunua kutoka dukani mafaili yako mapya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Hello kwa wale wapenzi wa ku stream online au kupenda kuangalia vitu live bika kupitwa 1. MIELEKEKA (WWE) Nenda hapo WWE Network Subscription - Free Trial login umo email...
1 Reactions
2 Replies
595 Views
Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Uzi huu ni maalum kwa watu wanao miliki app ili tusaidiani mbinu mbali mbali za kupata pesa pia kupata install kwenye app zetu
1 Reactions
4 Replies
1K Views
sumsung wamezingua simu yao ya sumsung galaxy note 9 huku ikiwa na tofauti ndogo sana na note 8 tofauti inakuja kwenye s pen na vitu vidogovidogo tu huku ikitoka na version ya 8.1 prosesa ya...
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Kampuni ya vifaa vya teknolijia ya Apple leo hii inatarajiwa kuzindua rasmi simu-janja yao mpya ya aina ya iPhone 8. Simu janja hiyo kutoka katika kampuni ya Apple inatarajiwa kuleta mabadiliko...
29 Reactions
792 Replies
90K Views
Wataalam wa IT habari! Wakuu nna ka pc kangu Panasonic CF W5, nilimuona jamaa akaniwekea windows 10, 32bit. Na kanapiga kaz zang kama kawaida kwani sina matumizi makubwa zaidi ya documents zangu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Muda mrefu sana sijaleta trick za kuroot simu,sasa nimerudi rasmi. Faida ya kuroot simu wengi wetu humu ndani tunajua hata baadhi ya njia za kufanya hivyo hasa matoleo ya android chini ya 5.1...
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Njia rahisi ya kuroot Tecno Canon CM kwa Magisk Root - JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
551 Views
Muda mrefu sana sijaleta trick za kuroot simu,sasa nimerudi rasmi. Faida ya kuroot simu wengi wetu humu ndani tunajua hata baadhi ya njia za kufanya hivyo hasa matoleo ya android chini ya 5.1...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom