Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Samsung Galaxy Note 9 is finally official. once a series of rumors, that emerged particularly in recent weeks, that allowed us to get the worth and specifications of the new product of the Galaxy...
2 Reactions
0 Replies
869 Views
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama. Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee...
4 Reactions
15 Replies
16K Views
kama kichwa cha habari kinavyoeleza naomba kuwasilisha.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za jioni. Nina memory yangu kila nikijaribu kufuta kitu inaandika "no permission to delete " Nikiformat inafaa ila space inabaki pale pale na baada ya muda yanarudi yote. Nimejaribu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu? Ninatumia Microsoft Lumia 535 (windows10 mobile) kwa mwaka wa 3 sasa, kuna kipindi waliruhusu kuinstall apps nje ya windows store kwa ku enable developer mode lakini...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Wataalam naomba msaada wa kuelekezwa namna ya kuturn on delivery report kwenye Samsung Galaxy A 8. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana jf Ipo hivi nilikua natumia compture HP g6 pavilion windows 10 sasa windows ikwa ina update kama ujuavyo windows 10 inaa update automatically. Sasa nikaa update vizuri kabisaa...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Muda mrefu sana sijaleta trick za kuroot simu,sasa nimerudi rasmi. Faida ya kuroot simu wengi wetu humu ndani tunajua hata baadhi ya njia za kufanya hivyo hasa matoleo ya android chini ya 5.1...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu nilijaribu kusoma pascal programing miaka ya nyuma, sikuweza kuendelea nayo na kwa bahati mbaya ninamdogo wangu kafuata mkondo huo katika pitiapitia kakutana na nondo zangu za pascal...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wakuu ! Hili nahisi ni tatizo kubwa sana kwa watu wengi hapa nchini ... Nlikuwa naomba kujua kama kuna internet ya mtandao wowote ambayo ni ya kuchakachua au halali ambayo unaweza pata...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari ya majukumu wadau wa tech. Nina simu yangu ya batani inaitwa nokia x2-02. Sasa housing yake imeharibika sana coz ni ya tangu mwaka 2014 lakini yenyewe bado ipo vizuri na uwezo wake upo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Computer imenigomea internet wiki sasa inaandika ivo
0 Reactions
5 Replies
592 Views
Kuna watu ukiwaambia maswala ya kucheza game atakuambia hayo maswala ya kucheza game ni watoto tu. lakini wanasahau kwamba watu wanaotengeza hayo magame ni watu wenye akili nyingi sana. Mm ni...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahitaji Betri ya CompaQ CQ 56, wireless keyboard + Mouse complite. Na Ram DDR3 ya Desktop iwe 1 au 2 GB uwe Dar, Bishara kesho. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
638 Views
Kwa mtu mwenye Tv ya Flat inch 32 kama anauza anichek tuongee biashara, nipo Mwanza Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naombeni msaada tafadhal Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Ningependa kujua hv tutoria ipi ambayo nitaweza kudesgin web kwa html na css au unalipia kwanza wordpress ndio unadondosha code?. please kama haufahama sivyema ukaleta maneno ya kejeli!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu msaada baada ya kupiga window nikitaka kuinstal driver pack inaleta hyo kitu script error Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
596 Views
habar wanajamvi! kwa yeyote anayefaham tofaut kati ya smart tv na smart android tv naomba anifahamishe maana nimekuwa nikitatizwa sana na tofaut ya maneno aya, unakuta baadhi ya flat wameandika tv...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom