Muda mrefu sana sijaleta trick za kuroot simu,sasa nimerudi rasmi. Faida ya kuroot simu wengi wetu humu ndani tunajua hata baadhi ya njia za kufanya hivyo hasa matoleo ya android chini ya 5.1...

Google store wanasema kwamba ukiweka paid apps kwa mara ya kwanza unaruhusiwa baadaye kuibadili kuwa free. Ila hairuhusiwi kuiweka app kama free kisha baadaye ukaibadili kuwa ya kulipia.Wanasema...
Google store wanasema kwamba ukiweka paid apps kwa mara ya kwanza unaruhusiwa baadaye kuibadili kuwa free. Ila hairuhusiwi kuiweka app kama free kisha baadaye ukaibadili kuwa ya kulipia.Wanasema...
Nawasalimu wakuu.
Nina simu ambayo imepata dhoruba sehemu ya kioo sijajua kama ni cha juu pekee au na cha ndani [LCD] pia, maana niliwahi kuidondosha sakafuni, ikaonesha nyufa kwenye kioo ila...
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu app ya kutengeneza video ambayo ipo simple, nina youtube channel sasa nataka niwe naunganisha audio na picha ili kupata video.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau na simu yangu samsung j7 prime kabla nilikuwa narecord picha za video vizur tu sasa kuanzia juzi nikitataka kurecord video inaniletea ujumbe huu tatizo linaweza kuwa nini
Sent using...
Ndugu wana bodi!
Toka jana asubuhi simu yangu haina ya tecno C-9 Hairuhusu simu kuingia. Anayenipigia anasikia inaita kidogo kisha namba inatumika. Tatizo hili liko kwa laini zote mbili ( Vodacom...
Kampuni kubwa ya teknolojia ya Apple imekua kampuni ya kwanza kufikia thamani ya Dola Trillion moja ikiwapiku wapinzani wake kama Amazon ($877 billion), Alphabet ($858 billion), Microsoft ($817...
Nina Samsung Galaxy J1. Nikiiweka mfukoni ikakandamizika kidogo tu nakuta imezima. hadi nitoe betri na kurudisha ndio nikiiwasha inawaka. Mwenye ujuzi inaweza kuwa nini anipe elimu.
Sent using...
Habarini wakuu,
nime "install" windows 10 kwenye kompyuta yangu, katika michakato ya mwisho nimekuja ku update drivers zote, ila drivers za display zinagoma kuwa updated ingawa nimetumia njia ya...
Jaman msaada hivi naweza kuinstall window kwenye computer kwa kutumia simu yaani simu iwekama vile flash kwa kuconnect na USB au mna nisaidiaje kwasababu huku nilipo ni kijiji hatar na wameniambia...
Do you want to boost your Adsense Earning but don’t know how to do it, so don’t worry anymore, here i will share full process about how to increase adsense earning
Adsense is a very web friendly...
Habari zenu wanajukwaa na wajuzi wa haya mambo, naomba msaada wa maelekezo kwa mtu ambaye anafahamu namna ya kuhamisha games kutoka kwenye laptop kisha nije kusave katika playstatsion 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.