The arms race is picking up considerable speed, and the United States doesn't want to get left behind.
Over the past four months, the U.S. Air Force has awarded two contracts for hypersonic...
Wataalam wa IT habari!
Wakuu nna ka pc kangu Panasonic CF W5, nilimuona jamaa akaniwekea windows 10, 32bit. Na kanapiga kaz zang kama kawaida kwani sina matumizi makubwa zaidi ya documents zangu...
Wakuu, watalaam wajuzi wa hii app ya kuchat, naomba kujua kama mtu anaweza kupitia internet akapiga chabo chati zangu. Nazani nimeeleweka kama inawezekana kupigwa chabo mnanishauri nini
Asante
Hello All,
Hope all doing good, I have been thinking to conduct free demo class on Jmeter which helps some of our friends here are the details go through it!!!
About Mindmajix JMeter Training...
Hv inawezekana mtu akakutumia window labla kwa kutumia whatsapp au kwanjia yeyote harafu ww ukaikopy kwenye flash na kuinstall kama inawezekana basi mwenyewe window 7 au 10 tuongee biashara
Sent...
Jamani Wajuzi wa Maswala ya Android na Rooting Nimekwama Msaada wenu Tafadhari
Mimi natumia Galaxy Note 4 ila sasa inaonyesha ni Version ya Korea SM-N910K ambapo nilipoipata simu hii ilikuwa na...
Mimi ni blogger na mjasiliamali kwenye sekta ya afya kwa hivo natumia zaidi simu kufikia wateja wangu.
Najua humu kuna wataalamu wengi kwa hivo naomba mnishauri simu gani nzuri naweza kuchukua kwa...
natafuta mtu wa kunifundisha advanced Microsoft access database! awe anaijua vizuri access !! location Dar !! pm me kama utaweza nisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Skip to content
Main Menu
Samsung vs Infinix Phones in Nigeria, who is winning?
May 17, 2017Ajibola Adeosun

This new era of technology has introduced so many devices to human, everybody wants...
Wakuu natumaini mpo flesh...naomba kusaidiwa simu yangu ya microsoft lumia kamera haifanyi kazi kabisa nikiifungua inaload alafu inarud kwenye menu tatizo limeanza baada ya kuianzisha simu...
Kichwa cha habari hapo juu cha husika. naomba yeyote mwenye hufahamu wa sehemu ninapoweza kupata au mwenye motherboard tajwa hapo juu, tafadhari naomba msaada wako.
Habari za asubuhi,
Wakuu natumia Samsung galaxy S8 plus lakini Ijumaa ilipata tatizo ni baada ya kuizima jioni. Nilivyokuja kuiwasha ikawa inawaka alafu inaandika "installing system update" alafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.