Laptop yangu sijui inatatzo gani yaani ukiwasha inawaka ila baasa ya neno window kumaliza kuloas tu haendelei tena hv tatzo lake nini
Inaonyesha kama vile hizi picha
Sent using Jamii Forums...
Kwa wale wapenzi wa Kickass torrent ambayo kwa muda mrefu ilikuwa imefungwa hatimae
jamaa wamekuja upya lakin kwa domain nyingine inayoitwa KickassTorrents is back
So kama wewe ni mdau wa...
Habari zenu wana jukwaa?
Nimetokea kuipenda sana kazi ya hii app ya photoshop ila sina ujuzi nayo. Ni vipi naweza jifunza jinsi ya kucheza na effects zake? Yaani niwe mtaalam wa photoshop...
Sorry jamani,naomba mwenye kufahamu software za kutengeneza bit anisaidia either kudownload au kununua kuweka kwenye laptop
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamvi nimekuwa mtumiaji saana wa samsung lakin smu nyingi za samsung note 4 nilizokutana nazo zna tatizo la USSD CODE.... MOJA WAPO NI HII NINAYOTUMIA
YAAN SIWEZ INGIA MENU YA TIGO...
Habari Wana JF,
poleni na majukumu ya kila siku,
Nawaomba kwa yeyote anayefahamu link au namna ya kudownload
Euro truck simulator 2 for android,
anielekeze tafadhali.
Salaam wanajamvi. Naomba kujuzwa juu ya bei kwa new na refurbished HP Spectre x360 13-ae098nz Laptop i5/i7, 8GB/16GB RAM, 512GB/1TB SSD. Kama kuna mdau anayo tafadhali nicheki hapa au PM. Asanteni.
Habari Wanajukwaa
Siku ya leo asubuhi katika pitapita zangu youtube nikakutana na video moja kutoka kwenye channel inaitwa Unbox therapy( Kwa wale ambao mtakuwa mnafatilia unboxing za simu mpya...
Habari Wanajukwaa
Siku ya leo asubuhi katika pitapita zangu youtube nikakutana na video moja kutoka kwenye channel inaitwa Unbox therapy( Kwa wale ambao mtakuwa mnafatilia unboxing za simu mpya...
Wadau wa greater thinker habari zenu.
Uzi wangu upo direct sana, napenda kufahamu ni maduka gani ambayo ni official naweza kupata simu og za sumsung ikiwemo warant. Nataka j7 PRO yenye 32 HDD...
Nimeamua kuifanya YouTube channel yangu iwe na access ya matangazo (ads) ili nipate hela.
Nina subscribers wawili tu hadi sasa. Na pia nimeupload video moja tu.
Pia naomba maelezo, naskia kuna...
Habari wakuu..
Laptop yangu acer aspire, nikiiwasha, kabla window haija start up inafanya kama ina loose moto hivi, inajizima then inawaka tena yenyewe. Inaweza kufanya hvyo mara kadhaa then ndio...
serikali pendwa ya awamu ya tano chini ya rais Dr.John Magufuli iliwahi kutoa namba hizi,
Mi nimekuja kujua baada ya kuingizwa mjini simu feki kariakoo aina ya Sony,kumbe nilipaswa kupiga *#06#...
Ni matumaini yangu mu-wazima was afya. Nina nina Android device aina ya VIWA X6, ilitokea itilafu ya kuzima ghafla.
Niliipeleka kwa fundi kwa ajili ya matengenezo,nashukuru Mungu simu imeweza...
Kwa ufupi
Ni mtundu wa kutengeneza vitu mbalimbali. Anakumbukwa na wengi kwa kuwahi kutengeneza helikopta kabla ya kusitisha mchakato wake kufuatia tangazo la Serikali
By Abeid Poyo, Mwananchi...
wanna jf polen kwamajukumu ya kazi nataka nikanunue flat tv ya STARTIME yenye king'amuzi, nch 24 inauzwa laki350000/= ushauri vp kuhusiana na rangi ubora wa picha na uimara wake! nawasilisha
Kwenu Wadau wa JF napenda kuwasilisha Jamvini ili kupata msaada,Nmepotelewa na Simu Yangu Aina ni Iphone 7 kwa yeyote anaeweza kunisaidia kuifanyia Tracking nikaipata naomba anipe support..Details...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.