Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada jinsi ya kuongeza ukubwa wa memory card na internal storage ya simu
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari zenu wanajamvi mm nimemaliza kidato cha 6 mwaka huu nmepata division 1 yapoint 6 na ulizia kozi ipi nzuri kati yahizo apo juu ,ikiwa na maana kaz zake ninazo wafanya baada yakuhitim na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi ... napenda kuuliza kuhusu ubora wa tv hiza maana nimevutuwa nazo kwa maana ya bei zake Kama kuna mtu ambaye akishatumia tunaomba tupe elimu kuhuzu hizi tv
0 Reactions
10 Replies
5K Views
You have been invited to GeoPoll by friend. Download GeoPoll App from http://gpl.cc/IYR5t Use this VVPHLZ9 referal code
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Internal Storage-16GB RAM-2GB Kioo-5.5 inch Betri- 4000 mAh Bado Mpya....+ guarantee Bei ni 230
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kampuni ya mawasiliano ya Smart Tanzania tangu siku ya jumapili hawapo hewani na hakuna taarifa yoyote rasmi kwa wateja wao ni kipi kimewakumba. Kuanzia jumanne walirudisha huduma kwa wateja wao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina tablet ya kichina inaitwa xcody tatizo nimeweka line ya halotel inakataa kushika network...kuhusu mtandao wa internet haina shida,naomba msaada wenu wajuzi...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Nilibonyeza kwa bahati kitufe cha whatsapp media VIDEO KWENYE GALLERY, na baadaye nikabonyeza KWA BAHATI kitufe cha HIDEN ALBUM. Sasa video zote za kwenye gallery hazipo na hivyo siwezi kuzifuta...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari GTs wa JF Natumia simu aina ya Samsung Galaxy S4 GT 19500, Android version 4.4.2. Simu yangu hii imekua ina tatizo ambalo limekua linanisumbua sana, hua inachemka sana kiasi kwamba mpaka...
1 Reactions
84 Replies
13K Views
Nahitaji Kujua Kampuni Inayofanya Hosting Au Mtu Anaefanya Hosting...naomba Tuchekiane...Au unaweza Acha Maelezo Hapa Hapa Na Kila Kitu Ili Iwasaidie Pia Na Wengine Wanaotafuta Hosting Kwaajili Ya...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu, nina shida hii naomba mnisaidie, nikifanya auto-search kwenye kisimbusi changu cha startimes cha antenna napata channels 26. Za continental na redio mbili pamoja na channel za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari yako ndugu msomaji wa huu uzi ! Nimepata tatizo kidogo kwenye simu/rununu yangu nilibadili app iliyokuwepo kwenye simu baada ya kuvutiwa na app nyingine ambayo niliona kwenye sanduku la...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Wakuu nimepata changamoto , vyuo vya I.T vimekuwa vichache sana mwanza wangaz ya diploma na kilichopo ni saut knatoa diploma n( SAUTI ) Na nna kibarua mahala inanilazim nisome masomo ya kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya wana tech, gadgets and science forum. Naomba msaada katika hili. Nime attach picha hapa chini:
0 Reactions
22 Replies
10K Views
tunatafuta web designer mzuri na mzoefu kwa ajili ya kudesign website kwa mwenye ujuzi huo tutafutane whatsapp on 0629206801
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani, nahitaji msaada nataka benki yenye visa card zenye hii feature. Maana site nyingi za online zinahitaji kadi zenye hii feature. Maana benki yangu pendwa Kwa issue za online banking, BancABC...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pc yangu imezima muda sasa na haitak kuwaka,ukiwasha button inarun kma inataka kuwaka na mgurumo wa fan lakin haidisplay chochote sijajua tatizo ni nn licha ya kuifungua na kuisafisha plus kutoa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habar wana jamvi la humu, Naombeni kujuzwa kitu wana jamvi,ukiwa na CISA how valuable are you to the job market? Nawezaje kupata info za wapi kwenda ili niweze kupata review class ya CISA na...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu salam Kama heading inavyosomeka. TV yangu samsung lcd 32" ina tatizo la kutokea kwa vertical lines kwenye screen halafu baada ya muda picha inakua faint na kuzima then picha inarudi, lakini...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanajamvi Wale wanaojua au kufahamu app au apk ambayo ina aina zote za music hapa duniani tufahamishane Mimi nina app ya SoundCloud ambayo ina miziki mingi ya kila aina ila ni ya audio...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom