Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ninaitaji msaada mwenye kufahamu application nzuri sana ya kuedit picha
0 Reactions
13 Replies
6K Views
wakuu nimenunua memory card 16gb nimeweka vitu vichache vya kurushiwa imebaki 14gb tatizo sasa nikidownload video na vitabu au kitu kingine kikifinish hakioneshi memory yenyewe mpya kabisa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Naomba kwa wale wataalamu wa haya mambo Ni programu ( soft ware) gani inayotumika kutengeneza vitambulisho kwa kutumia kadi ngumu yaani ( smart card) mf leseni za udereva n.k Pili...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ndugu wana Jf, kama kuna mtaalamu wa masuala ya madini ningeomba anisaidie namna ya kujua ardhi yenye madini yafuatayo; 1. Ruby and Saphire 2. Gold 3. Aquamarine Kama ataweza anambie naweza vp...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
FlySat AsiaSat 5 @ 100.5° East
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama Kichwa Kinavyojieleza! Wakuu Naomba Kujua Wapi Nitapata Hii Kitu: SMARTWATCH Yenye Uwezo Wa Kuhifadhi Na Kusoma PDF Files. Asanten.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu imeingia maji, natafuta fundi. Nipo DSM
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Habari wana jamvi, naomba anayefahamu namna au sites ya kupakua window 8anisaidie
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna ajali imetokea hapa wakuu, sasa nataka kujua kama CASE za spare zinapatikana, na bei zake pia ikijumuisha na utengenezaji.. Kwa mwenye uelewa wa hili anisahie info. Regards.
0 Reactions
2 Replies
762 Views
Ninahitaji kuroot samsung yenye android 6.0.1 marshmallow nimejaribu kila app ya ku root imeshindikana naombeni mnipe ufaham nitumie njia gani ingine..naamini mtanisaidia
1 Reactions
99 Replies
12K Views
Wakuu ni vitu gani vinatakiwa ilo kulaunch application ya simu?. ada ya malipo ni kiasi gani? Usajili unahisisha nini? vitu gani vingine?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Please assist me to get the mobilephone which is using GSM and CDMA ruims of good quality.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa Mpenzi Wa Tecno Sana Kuanzia 2015 Wakati Walianza Kubadilika Nilianza Kutumia Alcatel One Touch 360 Nikauza Nikanunua Tecno M3 Ambayo Nilikaa Nayo Sana Adi Nikanunua Boom J8 Tecno...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Wakuu,naombeni kufahamishwa kwanini hizi Samsung zinatofautiana sana bei. Nimetembelea pages za Instagram na baadhi ya maduka kariakoo kuulizia bei ya Samsung s7 edge na kukuta bei inarange...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari GT. Najua wengi wetu hapa tuna tumia Facebook "either direct or indirect" Kwa kipindi kifupi toka Facebook aongeze kipengele cha VIDEO kimeifanya kuwa sio sehemu salama kabisa kimaadili...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Husikeni na kichwa hapo juu.sijui tatizo ni nini? Inataka kudownload video za chini ya mb15. Msaada maana napakua low quality tuu
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nahitaji mwenye Battery ya hyo Battery anaweza nicheck ktk 0763976109 au 0658190978
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za mda huu pia poleni na majukumu....... Tatizo lipo kwenye kwenye flash yangu yaani ukichomeka kwenye pc inaonesha imesoma but ukiitafuta kweny my computer haionaekani...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habarini za jioni wapendwa wana JF nina shida kwenye simu yangu kila nikianza kuitumia kuna mda inastak halafu linakuja tangazo mara la TALA au BRANCH saa nyingine tangazo la magari hivyo naomba...
4 Reactions
67 Replies
14K Views
Hello friends kwa watumiaji Wa YouTube natambulisha group kwaajili ya kuchat,kushare videos na kupata taarifa mbalimbali ni group la youtube Best group JOIN HERE
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom