Habar za muda huu wakuu wa jf..
Naombeni mnijuze ni chuo gani hapa dar es salaam kinachotoa kozi za web design za muda mfupi (short course) kwa gharama nafuu
Wakuu kwema?? Naomba kujua kama kuna mtu anafahamu namna ya kufanya projection mapping kwenye wedding cake kama kwenye video hapo chini, nina shida nae
Habari ndugu wanajamvi.
ningependa kufahamishwa ni Sababu zipi husababisha website ya CIA na nyimgine za aina hiyo zisiwe hacked kama tunavyo shuhudia website zingine zikiangushwa kila mara?
je...
Wakuu nina site yangu iko porini ambapo sipati coverage ya nzuri ya internet nikiwa na simu napata 2G sasa nime opt kufunga Vsat yani hizi sattelite internet , Naomba kujua alie experience hii...
Kwanini uzi wangu umeondolewa nilikuwa najaribu kutoa kwa jamii but kwa sababu umeondolewa hivyo nadhani nimevunja moja ya sheria humu for that am sorry.
njia hii nimejaribu kwenye smartphone ya android na ni nzuri nikaona nije kushare huku, kuna njia kadhaa za kuhamisha vitu kutoka kwenye laptop kwenda kwenye simu mfana kwa usb cable au kutumia...
Napenda kufahamu duka wanalouza toner ya Gestetner DSm620d. Code ya toner ni 885095.
Ningependa maduka ya Arusha, Moshi au Dar Es Salaam.
NB: Maduka ya Galaxy computers, AA Computers na Copy cat...
Watalaam hivi ni site gani naweza nunua Key codes online za games? je wanaweza kutumiwa hizo codes kwa email baada ya kulipia? Nahitaji games za Xbox one.
Wapendwa wanachama na wapenzi wa jukwaa hili adhimu, Salaam!
Hivi majuzi nimenunua moderm kwa ajili ya kupata internet kwenye kampuni ya simu ya zantel. Moderm yenyewe ina uwezo wa 3.1mb per...
Ina nipa matumaini kuwa kuwa na uwezekano mkubwa wa binadamu na viumbe hai wengine kwenda kuishi huko kama vile mtu anavyo amua kutoka sehemu moja kwenda nyingine;nafikiri sayari ya Mars(Sayari...
Nilikuwa najaribu kujiunga kifurushi cha kimataifa kwa line ya airtel ili nipige Australia lakini nikakuta hawana international bundle inayoniruhusu kupiga huko. Naona Tigo pia kama hawana. Naomba...
Hivi karibuni kulitokea shambulizi kubwa la DDOS katika Mtandao WA jamii forums. Lakini shambulizi hilo ni kwamba watu wengi walichukulia kisiasa zaidi. lakini shambulizi hilo halikuwa kisiasa...
Thread maalum kwa bloggers wakongwe na wachanga kushare ideas mostly based na namna ya kukuza traffic kwa njia ya sharing
unaweza kuweka links za groups kama utapenda kuweka bure...
Lý do bạn nên lựa chọn wifi băng tần kép
Mạng không dây wifi hiện đang được sử dụng rất phổ biến, đa số người dùng chỉ quan tâm tới tên wifi là gì? Mật khẩu ra sao? Sóng có “căng đét”? Dùng có...
Habari wakuu
kwa anayefahamu ufundi wa radio, naomba msaada wa kujua idadi ya mizunguuko ya waya (coil) kwa upande wa INPUT wa TRANSFORMA
yenye INPUT 230V/50Hz
OUTPUT 11V×2/0.8A
THANX
Heahima zenu wakuu!
Nimeambiwa kuwa kuna simu za mezani ambazo zina support 3G/4G/LTE networks na zina uwezo wa kutumika pia kutoa wireless connection.
Naomba kujua kama hii taarifa ni ya kweli...
Wamiliki wa app ya Whatsapp wametangaza rasmi kuwa mwishoni mwa mwaka huu wataanzisha huduma maalumu itakayoweza kuwaunganisha watu zaidi ya wawili kwa wakati mmoja.
Kwa kuanzia huduma itaweza...
Habari wana jamii forum nahitaji kujua namba ya simu inatumika mkoa gani maana ndogo wangu nimempabhelabya Ada aende shule anasoma dar-es-slaam lakini ameonekana kahama ameondoka Ana wiki lkn jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.