Kwa mtu yeyote anayejua kutengeneza App android au IOS naomba tuwasiliane maama nina bonge moja la idea ambalo linahitaji nikutanishwe na huyo mtaalam wa hizo kazi.
karibu
Wataalam kuna mtu kanitumia chat ina maneno kaweka rangi nisiyaone nahisi kuna uwezekano wa kuondoa ile paint nikasoma alichoficha .
Msaada wenu tafadhali.
JIPATIE SIZON KWA BEI POA EPSODE 1 200TZS TUNAUZA KUANZIA EPSODE 5 TUNATUMA WHATSAPP KWA NJIA YA LINK KARIBU SEASON SINGLE MOVIE ZOTE ZIPOOOO KULA KITU MOJA HIO APOO UKIHITAJI NIONEE...
Ijapokua Elimu kuhusu vifaa vya umeme inahitajika pia kuna open project kadhaa wa kadhaa ya vifaa hivi (schemastic) bure.
Wengi tumekua tukiaminishwa kuwa wachina na wazungu wanaakili sana ndio...
Jamani wataalamu mwenye hio softwaere cracked version yake naombeni anisaidiee....Mkuu Chief Mkwawa nahitaji Msaada wako Hapa Kaka!
Sent using Jamii Forums mobile app
habari wana JF moja kwa moja kwenye mada
wapi naweza nunua ussd code mfano: *154*34# ambayo ita link na server yangu
huduma za kibenki ni vinara kwa kutumia huduma hii katika mitandao ya simu...
Tunatengeneza applications za simu kwa bei rahisi sana ni kuanzia elfu 70 kwa anayehitaji.Unapokua na biashara ni vizuri kuwa na website pamoja na appkivation itakayokuwezesha kupata watembeleaji...
Kwa wenzetu nchi zilizoendelea mobile application zimefanya watu wengi kuwa matajiri na bado wanaendelea kutajirika,natafuta watanzania wenye kutengeneza mobile application nzuri na ambao creative...
Naomba kujua jins ya kurecord kitu ninachokifanya kwenye computer..mfano kama naandia barua kwenyw microsoft word sasa nataka kurecors jins ninavyoandika asante
Wakuu habari!.
Nimekuwa nikitafuta mashine ya kutotoleshea vifaranga ya bei nafuu kwa muda mrefu bila mafanikio. Kila napoelekezwa na bei juu 1.8 - 2millons. Ndipo nikapata wazo la kujaribu...
Habari wanajamvi, ni wapi ndani ya Dar es salaam nitapata desktop computer mpya kwa bei ya 800k hadi 900k, processor i3 au duo core, ram 4gb na hdd 500gb brand ni Dell au Hp
Wakati najaribu kupitia pitia mitandaoni namna ya kufanya photo screen painting kuna kifaa nilikimiss au kukikosa kabisa pengine ni kwa sababu ya ugeni katika hii Sanaaa. Kitu chenyewe kinaitwa...
wadau ninaomba kuuliza,hivi ttcl mtandao wao wa internet unapatikana nchi nzima au ni dar tu! maana wanasema rudi nyumbani kumenoka sasa kumenoga dar au nchi nzima!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.