Nilikuwa nataka nibadili domain mfano jamira.com kwenda naima.com website ni mpya kwahiyo najua haiwezi kuniletea effect yeyote kwenye kuwachanganya wafuasi natumia hostinger nakaribisha mchango wenu
Kama mwaka mmoja uliopita mozilla walitangaza project yao mpya inayoitwa project quantum, lengo lake ni kuimprove engine yao ya Gecko ili iwe ya kisasa zaidi, improvement hii mpya inaitwa servo...
Dell inspiron 15.6 " 3567 ....6th Gen core i3-6006u processor speed 2.3Ghz hard disk 500GB ...screen normal ....hii laptop Tanzania inaweza ikagharimu shilingi ngapi ikiwa mpya
Habari wanajukwaa baada ya simu niliyokuwa nayo kusombwa na mafuriko,
Sasa ni wakati wa kununua simu nyingine na katika kuangalia nikaona kuwa kati ya simu hizo mbili sina sifa nizitakazo maana...
Nilikuwa na simu yangu.... VIWA MAX...ilipata creack ya kioo cha nje...niliifungua nikaenda kununua kioo cha nje ila nilipata sana shida kukipata...
Kipindi naifunga hii simu bahati mbaya kioo cha...
hey brothers and sisters nataka tushee hii trick of mine kutumia line yoyote ya mtandao wowote kwenye modem yoyote unayoitaka wewe bila ku unlock,(tigo, voda na airtel)
Fata hizi step...
Wakati Mtandai wa simu TTCL unahamià Katika simú za Mkononi walsema wao wanatoa huduma kwa njia ya 3G na 4G hivyo wateja wenye simu ambazo hazina uwezo huo hawatapata mawasiliano. Yaani kama una...
Natumia Smart TV ambapo humo ndani kama nikitaka kufanya mirroring kuna teknolojia ya Intel®wireless display, ambapo unaweza kuunganisha devices nyingine kama Laptop, tablet, na smartphone: Kwa...
Katika ndege vita zipo nyingi kutokana na matakwa ya watengenezaji ila kati ya hizi ipi ina sifa ya kupambana kivita?
========Update========
Top 10 Incredibly Advanced Fighter Jets in 2017 |...
Jana nimejiunga na kifurushi cha kwako tu kwa 1500 wakanipa 1GB na dk145 ila cha kuchekesha hii bando siwezi kufungua site yeyote yenyewe ni whatsapp na fb tu. Ukifungua youtube bila bila ila...
Nifanye nn kwa wale waataalmu wa pc game.... Game nying pc yangu hai. Meet minimum requirements naweza fanya ktu gan ili niweze kuzchezaa na sasa sina pesa ya kununua pc yenye uwezo mkubwaa
Habari wakuu, naomba msaada wa ushauri nataka nunua laptop kwa matumizi ya kawaida, ipi ni nzuri na naweza pata wapi kwa DSM ambazo c fake. Please, help me.
Ripoti mpya inayohusiana na ukarabati wa simu, imezitaja aina kumi ya simu za android zinazoongoza kwa ubovu.
Ripoti hii imebainisha utendaji kazi mbovu wa system ya Android kama ndio chanzo...
Wasalam wandugu!
Ningependa kujua kama inawezekana kutatua hili. Simi yangu ni huawei cun l21 hizi za voda kila nikijaribu kubadilisha line namba 1 niweke airtel badala ya voda ambayo naweka line...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.