Husika kichwa cha habari hapo juu Nina PC yangu I.3core new model HP nimenunua hata wiki hajakata bei 1.3million ila nimepiga window 7 sasa nikichomeka USB ili niconnect internet ya smart phone...
Hili ni toleo jipya la modem za Airtel Ina Uplink 5.7MB/s na Download speed ya 7.5Mb/s Ukiweka Unspecified SIM inakuomba NCK codes
Kwa maneno mengine hii inatolewa LOCK Kwa urahisi lkn je hiyo...
Wadau wa tech salamu kwenu.
Ningependa kujua kati ya daily motion na youtube. Ipi ilikuwa ya kwanza kuanzishwa. Na hii daily motion inamilikiwa na kampuni ipi? (Nafahamu kuwa youtube ni ya...
Nimekuwa na kajina kwenye jamii watu kunikubali kwenye mambo ya kutatua matatizo ya laptops, smartphones na internet kwa ujumla, Leo hii baada ya kutoka mihangaikoni na kurejea home nKaiwasha simu...
Wakuu naomba msaada.
Sijui kama hili tatizo nalipata Mimi mwenyewe au na wengine mmekumbana nalo leo.
Tangu asubuh nikijaribu Ku attach file haitaki kabisa na wala mails haziendi.
Kuna kitu...
Awali ya yote niwasalimu ndugu zangu!
Pia tumshukuru mungu kwa jukwaa letu maridhwa kurudi hewani tena.
Tangia sheria ya maudhuwi mtandaoni kuanza kufanya kazi/kutumika hali imekuwa mbaya kwa...
Akili ya binadamu ndiyo computer kubwa na imara kuliko computer yeyote unayoijua; wanadamu sasa tunatengeteza roborts kwa technologia ya Artificial Intelligence
- Akili ya binadamu kama computer...
Wadau naomba mwenye uelewa na hili anisaidie ni nini kinafanyika, ni hivi kuna mtu ana uwezo wa kufunguwa simu yangu hata nikibadili password mbalimbali lakini yeye anaifunguwa bila shida.
Sasa...
Za Jumapili wakuu!?
Wale wataalam wa teknolojia, hamna namna ya kublock namba ya mtu!? Maana kuna watu wasumbufu sijapata ona..
NB: Simu siyo smartphone wala haitumii iOS/ ANDROID... Ni nokia...
Naomba msaada wana jf HP laptop probook 4331s ina window 8 pro build 9200 inachelewa kuwaka kwa kuandika window configuration failed.inaweza kukaka hata masaa sita haijawaka naomba msaada wenu...
Wana jf, kuna movie nimedownload sasa wakati naangalia zinamute sauti alafu inatokea msg ya cinavia ikionesha ya kwamba hiyo movie ni protected. Naomba kujuzwa kwa mtu ambaye anajua solution ya...
Habari za humu wakuu
Usiku wa leo vibaka wamekuja nyumbani wameiba vitu kadhaa laptop,fedha ,simu 2 Samsung pamoja na iphone x ,nataka kuitumia iphone kutafutia vitu vingine kwa sababu ilikua na...
Mbona hii website ya airtanzania ipo ki blog blog? Ni nani designed wa hii website? Hivi hatujifunzi kupitia website nyengine za mashirika ya ndege kama Emirates, Oman Air?
Naiona hii haija kaa...
Wakuu naomba msaada
Nina sansan inch 22,flat screen...nimelock key kwa bahati mbaya..nimeweka on..
Naomba msaada jinsi ya kutoa keylock..na remote sina
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.