Habari wana jamvi wa technolojia,..
Nampango wa kununua tv anina ya star x inch 43 smart ivi hizi tv zina tatizo kwa ambae ametumia? na je, hiyo smart ni kwenye ina support internet youtube na...
Wadau,
Kweli awamu hii yetu wote
Nimepitia ukurasa wa Vodacom intaneti packages, nikakutana na hii, inamaanisha ukijichanganya ukaweka kivocha chako cha jero hujazima data, hakichukutachukua hata...
Natafta mtu anaeweza kuniunganishia channel nying iwezekanavyo kweny Tv yangu kwa kutumia antenna(bila king'amuzi). Mimi nmejaribu nmepata channel ila zinaonyesha baadhi. Nadhani kuna ufundi...
habari wana jukwaa naenda direct to the point kwamba mimi ni mpenzi wa pc fifa,pes, games ila ni mwezi kila nikijaribu kudownload naibiwa GB TU .kama fifa 16 linadownload alafu kwenye kuactivate...
habari za muda huu wana jf naomba msaada mwenyekujua jinsi ya kufuta mesage ya wasap ambayo nimeandika nikakosea ikaenda sehemu ambayo sio sahihi .kama vile tunavyo futaga mesege ya kwenye group...
Wakuu habari.
Nina simujanja ambapo Kwa takribani siku ya tatu Leo, simu inaleta Ujumbe huu "unfortunately,process. android.acore.has stopped".
Nahitaji kujua chanzo cha Ujumbe huo, na pia nini...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, ni kwamba nina wireless mouse ambayo nilipoteza usb receiver, sasa nimepata USB receiver ya mouse tofauti nimejaribu kadri ya uwezo wangu kuunganisha...
WhatsApp inayomilikiwa na Facebook wamesema wataanza kuzuia uwezo wa kuforward msg kwa chat 20 tu na kwa chat 5 India.
Pia wataondoa uwezo wa quick forward india.
Hii ni baada ya watu kadhaa...
Wakuu wa jukwaa heshima yenu...
Naamini kichwa cha habari kinajieleza tosha na wala hakitakuwa kigeni kwenye jukwaa hii
Simu tajwa hapo juu (huawei mate 10 pro) ndo simu niliyovutiwa nayo...
Hi ndugu
Nina modem nyeupe za voda zenye option ya wifi nikituma sms via web page inayotokea nikiconnect tu modem kwenye mozila firefox
NATUMA sms saliodata KWENDA 15300 inanirudishie ujumbe...
Habari wakuu napenda game za ppc lakini kila nikijaribu kudownload kama GTA vicecity lina kula mb zangu kama GB 1.7 lakini hakuna mafanikio zaid file linakuwa complete alafu naambiwa kwa game...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.