Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau salam Nina Nokia n9 ambayo internal storage yake ni 31GB lakini katika matumizi ya simu inalazimisha kutumia almost 600 mb Pia application nyingi zinacolapse zenyewe. * ni 4G LTE *android...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nimesahau pattern wakuu msada wenu
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina uzoefu na miaka ya nyuma sana lakini hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia ajali "kubwa" za commercial jets. Mwaka 2017 kumekuwa na ajali 10 na mwaka 2018 hadi July 31 tayari zimetokea ajali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, simu yangu haina sehemu ya option ya hotspot wifi....na nimejaribu ku install some apps za hotspot wifi lakin bado inakataaa ku connect......kwa anayefahamu au mwenye idea kuhusu hii...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Wakuu naomba msaada kama hili linawezekana yaan nikatumia king'amuzi cha dish kwa antena ya kawaida ya startimes ili kuepuka gharama kubwa za ulipiaji ya wa dish maana naona kwenye antena kuna...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
TTCL NI JIPU 4G YA VODA IKO VIZURI SANAAA LETA MCHANGO WAPO WEWE ULIPO SPEED INAKWENDAJEE
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wana JF, Najua wote mko poa. Leo nimewaleta makala hii ya jinsi ya kuzuia mtu kusoma meseji zako za WhatsApp, Njia hii inasaidia kuondoa zile pop ups ambazo zinatokea pale unapo tumiwa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
wakuu naomba msaada,ni application gani nzuri ya kudownload videos kwenye simu zenye mfumo wa ios, nimeinstall tubidy kutoka app store lakini hainipi option ya kudownload
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji memory card moja yenye capacity ya 128GB. Naomba kufahamu wapi zinauzwa na price yake, au kama kuna mtu anaziuza nicheck. Nilipita maduka kadhaa kariakoo sijapata ya ukubwa huo, nyingi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikola Tesla is an under-rated and forgotten genius. Einstein was amazingly intelligent but he was assisted by his very intelligent wife and and an assistant. Nikola Tesla was a complete lone...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
"Proximity sensor" kwenye simu inakazi gani!? Na nikwajinsi gani unaweza kuitumia!? Naomba kujuzwa kwa upande huo naona technology mpya kwangu!!
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Je? Wafahamu kama tv aina ya singsung flati mbele mara nyingi zinasumbua sana upande wa power na vertical
0 Reactions
23 Replies
13K Views
Salaam. Kwasasa kupitia WhatsApp unaweza kuandika ujumbe na kuutuma kisha unaweza kuufuta hivyo mtu uliyemtumia hatoweza kuusoma, Bali ataambiwa "this message was deleted". Hivyo aliyetumiwa...
1 Reactions
25 Replies
18K Views
husika kichwa cha habari hapo juu, je ni application gani nzuri kuedit picha kwa simu za android
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wanabodi, Naomba msaada wa kupata activation key ya Hiyo software tajwa hapo juu. Nimedownload trial version ya siku 30. Kwa aliye tayari kutoa msaada tafadhali. Ahsante.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu wa nyumba. Mimi ni mpenzi na mtumiaji wa free to air channels kwenye madishi makubwa. Kwasasa natumia tiger T245+ pro ambayo nataka kuupdate kupanda kidogo kwani hii nataka...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Kwa wale wanapenda apps nzuri na latest zilizo be cracked na be paid Naomba mtembelee website hii 👉👉 On HAX | tech forever au APK Ocean | Your source for APK na Mara nyingi hizo website za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Boeing's 787 Dreamliner makes its first passenger flight Wednesday, carrying about 250 passengers from Tokyo to Hong Kong on Japan's All Nippon Airways. Boeing has spent years and billions of...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naam, jee nikinunua king'amuz aina ya dvb t2 cha antenna kingamuz cha antenna kutoka nchi ya china au usa huku tz nitapata local channel bure???maana huku bongo local channel mpk ulipie
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wanaforum nimekwama,naomba kuuliza et naweza kutumia betri ya pikpik kunyolea kwa kufunga direct bila kuleta matatizo?Karibuni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom