Naomba kuuliza wataalamu wa electronics . Natarajia kununua micowave nimepata options ya used mtumba wa UK au mpya ya Kichina aina ya logik au hisense.
Ukiangalia utaona kitu kama nyota kubwa kuliko zote zilizopo angani na inayong'aa sana lakini hiyo sio nyota bali ni sayari ya Saturn, ambayo ni sayari kubwa sana, pia inakadiriwa kuwa dunia...
Nafungua uzi huu kwa masikitiko kwa kidogo ila kwa njia ya swali ambalo linaweza kuwa rahisi kwa wataalamu husika waliotajwa kwenye heading hapo juu.
Hivi ni mbinu gani inatumiwa na mtu...
Nauza YouTube account yangu au channel yangu ya YouTube pamoja na AdSense yake nimeisha iunga cha kufanya ni kutafuta viewers na subscribers wakutosha nauza tsh 30,000 kwa atakae weza kulipa leo...
Habar wapendwa, ku a baadh ya wadau wakiwa wanapost, mfano anatatizo anataka kusaidiwa jins ya ku root smartphone, yeye katika TOPIC TITLE anaandika *jinsi ya kuroot smartphone* alaf katika ku...
Wakuu habari za muda?
Nahitaji msaada kwa anayejua njia nzuri ya Ku root android 6 with or without PC
Nimejaribu kutumia app nyingi lakini sijafanikiwa, kuanzia framaroot, zroot kingoroot...
Watalaam, nimeshindwa ku connect chromecast kwenye tv aina ya TCL flat ambayo sio smart tv.
Nafanya setup kama kawaida inaenda vizuri ila inapofika sehemu ya mwisho napata maneno haya
ENTET...
Leo nimeona kujiuliza kwanini account za watu instagram zina hackiwa sana Africa Leo had I account ilikua INA blue tick ya @Zarithebosslady wamehack na juzjuz tu walihack ya mh.Paul Makonda...
Habari
Leo katika pita pita zangu nimekutana app hii link nitaweka hapo chini ambayo inatoa namba za nje ya nchi kama ilivyokuwa primo hii yenyewe ni free of charge ni bundle lako tu
Sharing is...
Kichwa cha habar chahusika; Naomba kuuliza, hivi kati ya Friji yenye mlango mmoja, na ile ya milango miwili;; ni ipi chaguo zuri kwa matumizi ya nyumbani?? Ipi ni nzur na faida zake??? Ungekuwa...
Wataalamu humu??
Ukienda kwenye build number katika setting ya Simu Wanadai wenyewe ukibofya haraka haraka mara 7 unakuwa tayari developer, sasa naomba kujua ukishakuwa huyo developer unaweza...
Habari za saa hizi?
Kwa ambaye anajua namna ya kurudisha picha zilizofutwa fb atoe maelekezo hapa tafadhari.
NB:Utoto weka pembeni kama unaweza toa ujuzi wengi wafaidike kama huwezi pita kimya kimya.
Habari wana JF, Natumaini wote mko salama. Weekend ya leo nataka kushare na nyie njia ya kutengeneza tovuti website bila kulipa gharama yoyote. Njia hii itakusaidia kuweza kutengeneza domain ya...
Wakuu habari za humu, wakuu naomba mnisaidie, mimi nina channel YouTube ina subscribers zaid ya elfu moja, Lakini kila nikipost video huwa natamani kupata viewers wengi lakini nashindwa, kwan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.