Habari zenu wanajamvi, poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Nahitaji msaada wenu hasa kwa wale mnaofanya online purchasing through wireless money transfer (Card not present environments)...
Wakuu
Najua ni wazima kabisa wazee wa tech naomba msaada wenu jinsi ya ku track simu kwa kutumia imei number ya simu husika, simu imeibiwa kwa mazingira ya kufikirisha kidogo msaada tafadhali...
Habari zenu wakuu,
Leo nimepata account ya google adsense lakini niikienda kwenye setting za blog yangu pale kwenye earnings inakataa kusave changes ningependa kujua shida ni nini au kwasababu...
Wadau nimepata shida kwenye ku sign in in my itunestore aisee mpaka naona awa apple sasa ni wasanii tu kwani nikitaka ku sign in ishu inakataa naombeni step za kufuata nifanye ilo chap.
Habari wana JF
Naomba niende moja kwa moja kwny mada
Hv n nini utofauti wa Quad core na Intel core¿¿Na ipi n bora zaidi kwa matumizi ya archcad na 3D modeling¿¿
Quad Core
Hp Probook...
Wadau nahitaji app ya kublock mtu akipiga simu isiite na wala isiseme chochote. App nyingi ukiblock simu itaita na kusema namba unayoipigia inatumika sasa hiyo watu wengi wanaijua. Natanguliza...
habarini wana jamvi,!!! bila kupoteza muda niende kwenye maada...
Nimesajili laini mpya TTCL aina ya 4G lakini nimeset kila kitu kwenye mobile network inaandika H+ lakini baada ya dakika 4 au 5...
King'amuzi cha startimes wamekuja na utapeli mpya wa kuwaibia watanzani,, it happened to me,, hapo kabla niliwauliza kuwa kwa mujibu wa tangazo la TCRA ni kuwa local channels zote ni bire lkn...
Ni wiki ya tatu sasa tangu nije hapa jukwani kuomba msaada wa namna ya kuunlock simu tajwa hapo juu baada ya kusahau pattern.Nashukuru sana wengi wenu mlijitahidi kunipa alternatives nyingi...
Hii ni version flani hivi ya miracle box nimeweza kuipata jana
nimefanya full installation lakini kila nikiifungua hollah... ina pop up picture fulani hivi alafu inapotea bila kufunguka
msaada...
jinsi ya kustopisha drivers na kufanya installation ya driver mpya na kuzifny zikubali, mfano; vcom port driver kwa wanaotumia kompyuta zao kuflash simu [phone repair] NIMEKUANDALIA TUTORIAL...
Simu imefanyiwa reset baada ya hapo inashindwa kukamilisha hatua za awali....kwanza inanitaka niunganishe Wi-Fi na nikiunganisha inafika kwenye kipengele cha kusearch updates then inalete ujumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.