Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za kaz wakuu!! Samahan Nimesha install hii bluestacks sasa nikiifungua inaload muda mrefu ,Mara unatokea ujumbe huo pichani .. Nisaidien nifanyeje hapo
2 Reactions
5 Replies
2K Views
wanajamii ntawezaje kuweka link kwenye post za facebook?mfano nataka kumuelekeza mtu'ingia hapa u download nyimbo'
0 Reactions
25 Replies
9K Views
You will be paid $10 per month for each month you are active in the programYou will be paid $15 per month for each referral that signs up for the project within 30 days of you joining the program...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ninaomba msaada nina printer yangu tajwa nikiprint inatoa kazi chafu sana karatasi yote,tatizo linaweza kuwa lini wakuu? ninaomba msaada wa haraka niko na wateja hapa.
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Baada ya miaka 10 ya kutumia TECNO sasa nimehamia Samsung, Tatizo linalonisumbua sipati sms na notification za wasap, jf, fb kwa wakati, Yaani mpaka niifungue application husika ndio sms na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Account yangu ya facebook haifungui au kudsplay chochote kile na siwezi ona Up dates zozote zile. Nin shida?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
je ni kweli kuna kitu kinaitwa copyright remover? Ndio ipo, je ni software gani nzuri hutumika? je youtube hubaini copyright kwenye audio tu? hapa na visual pia, kivipi? je video za music...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
The drive is not ready for use; its door may be open. Please check drive A: and make sure that a disk is inserted and that the drive door is closed. Inaandika hayo maneno hapo juu na inajirudia...
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Wadau naomba mwenye uelewa na hili anisaidie ni nini kinafanyika, ni hivi kuna mtu ana uwezo wa kufunguwa simu yangu hata nikibadili password mbalimbali lakini yeye anaifunguwa bila shida. Sasa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
TAFADHALI USITUMIE SIMU KWENYE GIZA UNAWEZA KUWA KIPOFU. Mdogo wangu Daktari justice Authur, ambae ni daktari kule africa kusini ameniomba kuwagawia hii na nyie pia. Amesema ni muhimu sana. Hivyo...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Wasalaam Wakuu kwa mliowahi kutumia hizi flat za star x na mnaotumia je uimara wake upo vp, ni nzuri kwa matumizi? Naombeni ushauri wenu nisije nikala hasara , ushauri ni muhimu kama zinadumu...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mvulana mmoja wa darasa la saba nchini Australia aliyejulikana kwa jina la Orley Fenelon mwenye umri wa miaka 12 amefanikiwa kujitambulisha kama waziri mkuu wa nchi hiyo kwa siku mbili mwishoni...
8 Reactions
124 Replies
11K Views
Zipo nyumba ambazo swala la shading kwenye solar panels juu ya paa haliepukiki kutokana na nature ya paa lenyenyewe lilivyopauliwa ("complicated roofs") au kutokana na nyumba za jirani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ogeza Nafasi Kwenye Simu Yako Ya Android Kwa Njia Rahisi Zaidi....
0 Reactions
12 Replies
6K Views
naomba kujua ni vitu gani vya kuzingatia ninunuapo flat screen TV? kampuni nzuri na mengineyo
0 Reactions
5 Replies
934 Views
Nahitaji saa za mkononi kama tano nataka kujua brand ipi ni nzuri na safe, Pia naomba nijue saa hizo zinaweza kuwa na GPS ila zisiwe smart watch, Je nta sychronous vipi majira ili saa zote ziende...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Kwa wale wataalam wa computer naomba msaada kwenu kila nikifungua application kwenye computer yangu inanileta 'window32 application error'. Hili tatizo limeanza hivi kalibuni kwa application zote...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar wanaJF,Natafuta display ya samsung s5 used mwenye nayo anicheki 0672677472
0 Reactions
2 Replies
652 Views
Habari wadau! Naomba msaada kwa ambao washawahi kufanya manunuzi kwenye mtandao wa ebay.com Kwani nimefanya manunuzi kwa mara kadhaa lakini napata majibu ambayo siyaelewi na ninachokusudia kununua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu wataalamu wa haya mambo ya web hosting... Naomba kufahamu.. Hosting plan ipi?? (kutoka kampuni za hosting za mbele/kama vile hostigator nk...) hosting plan ipi ambayo inaweza ku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom