Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Forever IPTV language package: Albanian Arabic Africa Brazil Bulgaria Chinese Czech Canada Cyfrowy Polsat Dutch French German Greek Hungarian Italian India Iran Latin Polish...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani habari zenu pc yangu ina tatizo kama tajwa hapo tatzo jingine ni kwenye external mouse yani imebadilika left button sa hizi ni right button na right button sa hizi ni left msaada hapo...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni ya Yevo Labs kutoka Sweden imeanza kuunda hedifoni (kisaa cha kutumiwa kwenye simu au kompyuta kusikilizia) ambazo zinaundwa kwa kutumia vyuma kutoka kwa silaha haramu. Hedifoni hizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa hili watu wa tecno wametisha, hii housing replica yao ya iphone x huenda ikauza sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Virusi vya kompyuta ni tatizo la muda mrefu ambalo limeathiri watu wengi kwa namna moja au nyingine. Inawezekana wewe ni mmojawapo kati ya wale waliowahi kuathiriwa na virusi vya kompyuta...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Sold
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Naombeni msaada wa ufafanuzi wa kozi hizi kwa ngazi ya cheti na diploma unatakiwa ufaulu nini na nini kwa mwanafunzi wa O-level 1.Computing and information communication...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari nina idea ya network japo si kwa sana swali ni kwamba nawezaje tumia internet ya ofisini kwangu ata nikiwa mbali na ofisi ikiwa details muhimu zote muhimu ya network yangu nazijua kuanzia...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi in matumaini yangu mu wazima wa nje! Nina simu aina ya xiaomi redmi 4a kila nikijaribu kutafuta namna ya kufungua akaunti ya MI sipaoni. Bahati mbaya hii simu nimenunua kwa mtu...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu wote ambao ni Action gamers wa gamez km GTA,COD,BIA Naomba kujua kama kwa specification za ram4gb, processor icore3-6006U, 64bit OS kwenye windows10 naweza cheza GTA 5 kwenye pc? Pia...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
E3 ( electronic entertainment expo).ni maonyesho makubwa kabisa duniani kwa ajili ya burudani na michezo ya kielektroniki ( computer and console games).Maonyesho haya hufanyika kila baada ya...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomba nisaidiwe kutokana na hizi picha kwani zamani (Desa) ilikuwepo ila sasa haipo kama picha zinavyoonyesha. Naomba msaada njia ya kumaliza hili tatizo.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wapendwa binafsi napenda sana kucheza game za magari kupitia pc yang core i3..changamoto..kila nikishusha game naambiwa lazma nilipie...hivyo basi kwa mtaalam anaejua kudownload mzigo bila...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naomba kufahamishwa ukiwa na History E Geography S English D Unaweza soma Diploma ya IT, ICT au CS
0 Reactions
15 Replies
2K Views
whatsapp ninayo download haina icon ya setting help me plz where i can get the one with setting on the top, asante
0 Reactions
5 Replies
977 Views
naomben msada wa kukonekti Modem ya TTCL.
1 Reactions
18 Replies
14K Views
Habari.. Ebana nina huawei G630 hapa.. Imegoma katika rescue mode. So kuna msaa wowote naweza pata.. Ili irudi sawa. Asnte
0 Reactions
0 Replies
455 Views
naomba kujua course ya health information system inalingana na ile ya computer science? na nafasi zake za kazi mbona sijawahi kuziona? msaada napenda kwenda kuisoma pale UDOM msaada tafadhari
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Habari vipi wakuu Kuna tatizo la installation ya POSTGREsql-10.4-1 windows maana kila nikijaribu kuinstall inaandika THERE HAS BEEN AN ERROR.UNABLE TO WRITE INSIDE TEMP ENVIRONMENT VARIABLE PATH
0 Reactions
3 Replies
912 Views
Habari zenu wana jukwaa please naombeni msaada wenu Simu yangu ni samsung note 3 inabagua kusoma sim card mwanzo nilipochukua ilikua inasoma halotel na voda ila tigo na airtel zilikua zinagoma...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom