Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari za uzima!naitaji msaada wenu jinsi yakulitatua tatizo la simu Mara kwa Mara inaleta mwanga mweupe bila kudisplay maandishi yoyote Yale mpaka niizime niwashe Mara kadhaa ndio inakubali...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Bado offer zetu zinaendelea kama ifuatavyo 1)Webdesign kwa gharama ya 200000/=tu 2)Webhosting kw gharama ya 65,000/=, kwa vipengere vifuatavyo;- 1GB mysql space 40GB Bandwidth Free Domain .or.tz...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
J7 pro ni ya mwaka 2017 wakati Galaxy S7 ni ya mwaka 2016. Ipi ni simu nzuri kati ya hizo in case of ubora na mengineyo yote. Karibuni wakuu..
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari Wakuu kuna mwenye kunisaidia namna ya ku view simu yangu kwa full screen ya laptop? Yani niplay kitu kwenye simu kisha nione kwenye laptop
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Blogger mnajipanga kuanza kupiga mkwanja kupitia Youtube karibuni kwa anaehitaji youtube adsense account 0756807819
0 Reactions
0 Replies
483 Views
msaada jamani, tv yangu imepoteza rangi mara baada ya mtoto kupitisha sumaku mbele ya tv, kwa anayejua jinsi ya kuirudisha rangi jamani
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Naomba nielekezwe sehemu ya kudownload app ya JF natumia simu ya Microsoft Lumia(window phone)
1 Reactions
5 Replies
659 Views
Nahitaji saketi za hizi simu Lg G4 Grand prime plus Galaxy note 1 Mwenye nayo mojawapo anicheck 0763976109,0658190978
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikiwa nimebobea kwenye software na kuijua simu hasa smartphone ndani na nje nakaribisha maswali, mawazo kuhusu simu na kinachokusumbua
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wajuzi wa mambo,nina tv aina ya lg tv flat screen,24 inches.Tatizo ni kwamba haina sehemu ya audio output.Nitumie ujanja gani kutoa sauti kutoka kwenye tv yangu kwenda kwa subwoofer.Je,kuna kifaa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Laptop yangu Hp envy haisomi hdd nilipoicheki nimegundua kuwa pale port ya hdd inapoungwa na motherboard kuna jino moja limekatika kama kuna fundi hasa wa hardware au yeyote anaefahamu wap naweza...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Habari ya muda huu wakuu! Nimepita showroom nikakuta hizi product Skyworth na bruhm. Zote zina king'amuzi cha ndani, USB port na HDMI port. Nimependa muonekano wa picha zake. Napenda kupata...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwemye link ya movie italian job 2003 nashida nayo please..
2 Reactions
206 Replies
29K Views
Wadau naomba msaada wenu natumia galaxy j7 dual sim ya 2015... Lkn kwa siku za hv karibuni imekuwa haishiki mtandao wa 4g hata kwenye eneo lenye mtandao huo wa 4g.... Nilijaribu kwa tigo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wakuu habari zenu naomba msaada kuhusi google photo hv nikitaka nizistore picha na video zangu pamoja na namba za simu contact kwa ajili ya kujilinda kama simu ikipotea au kuibiwa niset sehemu gani ?
1 Reactions
5 Replies
8K Views
habari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo...
13 Reactions
229 Replies
26K Views
Wakubwa ..mim n mpenzi wa games..sasa kuna hili game naliona sana clips zake youtube..sprintire..je kwenye computer linaweza cheza??..wapi na nani alie nalo aniuzie..coz naliona tamu sana
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamn nataka msaada hpa nina dell I5 3570 nataka kujua kama itacheza game kubwa kama gta v na nyingine kibao sasa sijajua n graphics gn ya ukubwa gan inafaa msaada plz
0 Reactions
1 Replies
540 Views
Jaman samahani nina PC yangu dell I5 3470 nilikua nataka kujua kuwa kama nitainunulia graphics card inacheza game kubwa kama GTA V msaada plz.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
wadau ninasimu aina ya infinix note4 pro,hii Simu haikamati network huwa inaniandikia cellular data not available mwenye kujua jinsi ya kutatua hili tatizo la network anisaidie,shukrani.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom