Nipo Mwanza kwa sasa, naomba kwa yeyote mwenye kumjua fundi mzuri wa digital camera au hata simu hapa mjini anielekeze ofisini kwake kwani nina digital camera yangu imepata hitilafu sasa naogopa...
Habari wakuu.hivi karibuni email yangu ya outlook on my android inaniletea error hiyo hapo .nakuwa siwezi ku access chochote tena ina kuja kila baada ya 15 au 30 minutes.
Kwenye pc same account...
TV yangu haiingizi Moto Nahisi Imeungua na mi nipo Mbali na Mjini, kwa anaejua kifaa icho kinachoIngiza moto kwenye tv hii anieleze nijipange kwa matengenezo
Baada ya kilio cha muda mrefu hatimaye jana adsense Wamenitumia email ya kuapprove Site yangu kuweka matangazo yao (Nacheka kwa furaha).content zangu natumia kiswahili 100% sasa kinachonisumbua ni...
Habari wana JF, Leo ningependa kutoa somo hili fupi la jinsi ya kuangalia kama barua pepe yako imedukuliwa. Najua usalama wa mtandao ni kitu cha msingi sana na ni ngumu sana kujiweka salama...
Najua watumiaji wengi tu wa Internet, hua wanakawaida ya kutopenda matangazo wanapotembelea tovuti mbali mbali kwenye mtandao wa Internet (hasa zile pop ads) kwa namna moja au nyingne "zinakera"...
Wakuu bado offer inaendelea kwa msimu huu wa sikuu .Webhosting kwa gharama ya 75,000/= tu ,kwenye hii offer utapata zitu vifuatavyo:=
1)Msql storage ni 1GB.
2)Bandwidth ni 40GB...
Wadau samahani kuuliza si ujinga naomba kujuzwa maana ya clear cache kwenye simu hivi ukiclear hiyo cache maana umefuta nini? Au ina maana umefuta app yote?
Naomba aliyefanikiwa kuondoa write protection kwenye USB FLASH anisaidie, nimejaribu kutumia njia kadhaa mfano registry, discpart lakini kwa miaka kadhaa sasa bado, naomba mnisaidie maana...
Nina-Samsung Galaxy S6 g920F baada ya ku upgrade OS kutoka 6.1 hadi 7.0, kwakutumia Odin3, network Inasumbua inaniambi NOT REGISTERED ON NETWORK, simu hazitoki, yaani hata salio siweziuliza.
Wakuu naomba kuuliza kwa ambao wanafanya blogging na online jobs na ambao malipo hupata kwa njia ya Wire transfer je ukitumiwa commission yako kwa njia ya wire ili kuipokea kwa bank ya tanzania...
Wakuu habar zenu embu mnisaidie
Hapa Kwa wanaoelewa
Je naweza kuconneckt lain ya
Cm ya tz nikija nje ya tz mfano
Niko Rwanda Kigali na nkawa
Naitumia inawezekna
Ikafanya kaz kwa upande wa...
Habari zenu?
Naomba mnielekeze namna ya kununua voucher ya StarTimes kwa MPESA. (Nimejaribu ku-search thread nyingine hapa sijaona)
Pale ninapoambiwa niingize namba ya account, hivi namba ya...
Habarini wana jamvi,
Kama nilivyoainisha kwenye kichwa cha thread hapo juu,
Nina PC yangu aina ya Dell ambayo batterry yake imeshakufa kitambo nikawa naitumia direct bila battery.
Kwa sasa PC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.