Habari za wakati huu wakuu
Natumia computer ya simens fijitsu lakini kwenye keyboad zake nimeshindwa kuandika alama @ ambayo ipo kwenye button yenye herufi Q. So naomba maelekezo nibonyeze wapi...
Natumai wazima wakuu. Nina tatizo, flash disk haina kibutton chochote kwa pembeni. Zamani ilikua haileti matatizo yoyote ila imepata write protection ghafla. Siwezi kufuta kitu, siwezi ongeza...
Habari zenu ndugu zangu wataalamu wa simu za ios ninatumia simu aina ya Iphone 5s ni wiki ya tatu sasa kila ninachokaribu kuinstall inagoma na kuniandikia ujumbe wa ku upgrade ios ila nimeshindwa...
Nimekutana na wanafunzi wengi wa vyuo ambao angalau wanapokea Fedha za kujikimu kutoka Bodi ya mikopo lakini wanalalamika sana kwamba Mkopo haukidhi mahitaji.
Ni kweli Katika soko laptop mpya...
Naomba msaada kuhusu jinsi ya kucrop passport size iwe na ukubwa wa 150x160 ili niweze kui apload bodi ya mikopo.
Tafadhali naomba nisaidiwe kwa hilo kwa yeyote mwenye uwelewa kuhusu hilo.
TTCL nimeshangaa nimefika mkoani Simiyu hamna coverage, hivi kweli mpo makini na biashara au kwa vile shirika ni la umma ndo hamjali huo mkongo mlo chimbia nchi kwa coverage hii ni aibu.
Ukiwa...
Natumia windows 10 kwenye Laptop aina ya Hp.
shida ni kwamba tokea jana computer mouse na keyboard hazifanyi kazi na ni ghafla tuu iliandika error occured na mpaka sahizi kwenye keyboard naweza...
jamni nimenunua simu mpya ya tecno w2 but haisomi laini moja ila hiyo laini nikiiweka kwenye simu ndogo ya batani inasoma vizur , naombeni msaada ndugu zangu katika hili
Habari wadau wa Jukwaa la Teknolojia.
Nina simu ya Samsung Galaxy Note 3 Neo (SM-750L) ambayo nimeiroot kwa muda mrefu tu lakini sasa nataka kuweka Xposed Framework.
Kwanza sijajua namna ya...
Hamjambo watu wa jukwaa hili?
Naombeni msaada mnielekeze hivi ni app gani inayoweza kuzuia matangazo ya biashara yanayokuja yenyewe kwenye smartphone yangu.
Yaani yanakera sana mara ingine...
Habari za leo wadau
Swali langu kwenu ni kutaka kujua tofauti iliyopo kati ya engine za IST zenye 1290cc na 1490cc.
Nini hasa kinachotofautisha aina hizi za injin? Je ni katika matumizi ya...
hii nakumbuka kipindi cha nyuma kuna mtaalam aliwahi kuiweka humu ndani. nami niliwah itumia kwenye simu yangu ambayo ilikuja kupata mushkel ( rest in peace my phone) bahati mbaya nimelisahau jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.