As salaam aleikum wandugu mimi ni mmiliki wa blog ya kiislamu inaitwa Uislamuwangu.blogspot.com Naomba msaada wa kutengenezewa App kwaajili wa wasomaji wa blog yetu hiyo pia tumetafsir qur-aan...
Hellow wakuu,
Hii ni wiki ya tatu sasa jamiiforum app nikitaka kulog in inaniletea maelezo ya ku register,
Hata hivyo nikifuata hayo maelekezo inanirudisha nyuma tena kwenye kulog in.
Tatizo ni...
Sio Apple pekee wanaoumizwa na mauzo ya iPhone X, Samsung pia wanapata tatizo hilo hilo. Kutokana na Apple kuwa wanategemea sana Samsung kutengeneza display/screen ghali za iPhone X, sasa Samsung...
Please check on your phone to know if anybody is monitoring your line. The step are very simple
This is very very informative
Please dial *#61# on your phone to know if your phone number...
Wadau pc yangu ina tabia ya kukata sauti alafu baada ya muda inarudi... nimejaribu kuangalia sound drivers naona ziko poa.
Msaada tafadhali, laptop ni hp na inatumia window 10
Sent using Jamii...
Hello..
Nimekua najiuliza hilo swali muda mrefu, kwaini directors hua wanatumia rangi ya kijani as backgrounds/"]www.jamiiforums.com/mobile-gallery/ce7eb8fd1de517c715a5093ea1029390.jpg[/IMG]
Post...
Wakuu nimepata tatzo la computer yangu kushindwa kusoma flash, mouse au any USB devices ninazo jarbu chomeka katika port za hii computer,
Na huniletea notification hii ya Unknown USB device...
Ipi ni tofauti ya PSI na HorsePower (HP) nimetafuta mashine ya kuoshea magari (Pressure washer) nikakuta kuna ambazo uwezo wake upo kwenye SI unit ya PSI 2,000 3,000 5,000 n. k
Kuna nyingine...
Wana Tech,
Nimepatwa na tatizo la kuset kidish kidogo. Nina set zifuatazo,
1. Dish dogo tu size kama ya Zuku vile sihitaji dish kubwa.
2. Ku Universal LNBF
3. Receiver aina ya Digitek Plus...
Vpi za mida wa kuu ?
Nina simu haina ya HUAWEI Y530-U00 imegoma kutoa call na kuingiza call yeyote ila sms, kuangalia salió, kuingia internet vyote vina fanya kazi Fresh ila kasoro tu kupiga simu...
Habari za muda wanajamvi. Jukwaa hili limepoza sana toka Mkali trick,Psite shio watoke humu.
Nataka nianze kulichangamsha upya, leo tujifunze jinsi ya kutengeneza bot bila kuwa na ujuzi wa code...
Inaweza ikawa ishawahi kuelezewa au kufafanuliwa kwa ufasaha zaid ila kw bahat mbaya post n nyingi na kuanza kusachi naic inaweza ikawa poat ya zamani sana. Kwa heshima na taadhima.
Ningependa...
Baada ya Instagram kufanya majaribio ya uwezo mpya wa kupost picha au video zaidi ya moja kwenye post moja, sasa uwezo huo umekuja live kwenye programu zote za instagram. Mtumiaji ataweza kupost...
Habari zenu.
Leo nataka niwape ujanja tofauti tofauti ambao mtu yeyote anayemiliki smartphone anaweza kutumia ili kulinda mambo yake yasivurugike hata kama mtu atakaa na simu yako mwaka mzima...
Nina huawei model G730-u10 baada ya kuinstall TWRP Recovery then nika boot into recovery,ikazima na ilipokuja kuwaka ikawa inaishia kwenye huawei logo then ina restart tena (bootloops).Nimejaribu...
Nilikua naomba kuuliza hivi inakuaje pc ina resolution 1440 screen yake but graphics card yake ni intel HD graphic hii imekaaje wadau je nitaweza kuu upgrade graphics?
hii ni laptop sio desktop...
Here i Present Special Flasher For Itel
Hang On Logo Phone That Can Not Be
Flash With All Known Tools, Miracle Fail,
CM2 Fail, Inferno Fail And
ResearchDownload Fail.
contact me nibure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.