Msaada kwa mwenye kujua nime poteza simu yangu aina ya iphone 4s,nime jaribu kutumia icloud yangu kuitafuta lakini ina ni ambia your device is offline.hakuna namna nyingine ya kuweza kuipata means...
Bohr's model of the atom
For a fascinating and highly recommended biography, see Ruth Moore: "Niels Bohr: the man, his science, and the world they changed". Knopf, 1966.
Niels Bohr was a...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, jana nilikuwa kwenye harakati zangu za kutafuta tonge japo niishi, nikatoka Kimara nikawa nimeshuka Magomeni ili niende NIDA kufuatilia kitambulisho...
Habari za muda huu Wakuu
Naomba kwa anaefahamu hili swala maana nimenunua laptop yangu nina kama mwezi mmoja umepita sasa nikawa nataka niidownload android studio kwenye pc yangu sasa nikashindwa...
Habari za muda huu wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, simu yangu aina ya samsung J3 ukikonect usb cable inacharge tu bila kukonnect simu.
Mwanzoni ilikua inkonect vizuri tu lakini sasa...
Smartisan R1 hilo ndio jina la simu iliyovunja rekodi mwaka huu 2018 kwa kuwa simu yenye ukubwa wa ndani mkubwa zaidi, simu hii inakuja na ukubwa wa ndani wa GB 1000 sawa na Terabyte 1.
kuna sehemu sauti imepishana samahani kwa hilo ila inaeleweka
Kama hauna cha kunipa basi tabasamu ukifurahi kisha subscribe my channel
Ukishadownload software ya kucrack kwenye link hapo chini...
5. Norway - Nchi ya Norway hadi kufikia mwezi may mwaka jana 2017 ilikuwa na uwezo wa internet yenye kasi ya MB 21.7 kwa sekunde.
4. Hong Kong - Nchi ya Hong Kong hadi kufikia mwaka jana 2017...
I hope wadau mpo poa... Natumia lenovo phab2 plus 670m na ina Android 6.0 nimeroot na nimeinstall adaway kuzuia matangazo lakini cha kushangaza matangazo yanakuja kama kawaida msaada nini nifanye...
Nimekuwa muhanga kwa muda mrefu kwa tatizo hili, kuna mtu anaingilia mawasiliano yangu ya simu hasa call za simu, messeji na whatsap na facebook,nimehangaika kwa muda mrefu sana nimejaribu...
Habari za wakati huu ndugu.
Pc yangu hp(celetron) USB-port moja haifanyi kazi ya upande wa kulia ambayo ipo peke yake. Ukiconnect devices inakuambia not recorgnised lakini yapitisha power.Kwa...
Habari blogger wenzangu kwa wale wanaotumia extension ya .blogspot.com na unaona inafanya domain yako kuwa ndefu sana sasa unaweza kuhamia .space kwa USD 0.87
Kama unauhitaji DM nikusaidie kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.