Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam, Wakuu nimenunua laptop yangu mpya. Sasa nahofia keyboard numbers zitafutika baada ya mda nikiwa naitimia. Sasa nimejaribu ku google nikapata kuna kitu kinaitwa glowing stikers. Hizi...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala ya Teknolojia basi lazima utakuwa unajua hivi karibuni Kenya ilifanikiwa kurusha satelaiti yake ya kwanza. Angalia video hapo chini jinsi tukio hilo lilivyokuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada wadau nina gpu ya nvidia inapiga kazi fresh but leo nimejaribu kuinstall gpu nyingine ya amd imezingua screen inaonesha no signal. So kama kuna uwezekano wa kufix hili tatizo naomba...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Je unapenda challenge ya 1v1 games kwa your device? Kama ndio, nafkiri games Za iMessage ni games nzuri sana.kwanza hii ni messaging app nzuri sana ambayo ni kwa ios. Users only na pia inaendana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, Kutokana na tatizo la simu yangu (galaxy note3) kutoa sauti sikio moja tu la kushoto, nimepokea maoni mbalimbali, kwamba simu yaweza pokea earphone aidha ya njia mbili au tatu, sasa ombi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF, leo nimewaletea njia mpya ya kuroot simu ya Android bila kutumia kompyuta, Kumbuka njia hii itakusaidia kuroot simu yoyote ya Android hata zile za tecno ambazo zimekataa kuroot...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nina siku ya tano toka nianze jifunza kutumia Adobe Illustrator.. Hii picha nimeichora kwa kutumia pen tool kutoka kwenye picha ya mdada falni from google. Jambo ambalo linanittiza sana ni kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu Naomba msaada kwenu, kuna namba ikinipigia kwenye simu yangu inaonekana kama vile nimeiblock wakati sijafanya hivyo...nmejaribu kuchek block settings ziko poa! Simu ni samsung s3
0 Reactions
0 Replies
885 Views
ivi pad za kuchezea game kwa pc zinapatikana kwa bei gan
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanajamvi, naombeni msaada wa namna rahisi ya kuzuia (block) website isifunguke kwenye pc. Kwa mfano sitaki website hii.. Je natumia au nafuata hatua gani rahisi zaidi. Asanteni.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu, Niende direct kwenye point kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Hii ps yangu ni wiki ya pili sasa inatatizo la kuwaka, ukiiplug kwenye umeme ile taa nyekundu inawaka kama kwaida...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawezaje kutambua iphone fake na original maana kuna wimbi kubwa sana la sim fake
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba msaada wa namna ya kupta product key za microsoft office 2007 make nimedownload hiyo microsoft office ila kila nikitaka kuinstall kwenye laptop...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakubwa,ninaomba msaada nime sahau neno la siri kwenye Samsung cloud simu nayo tumia na Samsung galaxy J7prime,ni kwamba simu imekua nzito haifanyi kazi km ilivyokua mwanzo sasa nilitaka...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nina modem ya airtel wi-fi wingle model E8231s-1 kwa anayeweza ku-unlock kama yuko Dar ani-PM.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za jumapili wakubwa! Natumai siku ya leo iko vizuri sana. Naomba kufundishwa jinsi ya kupositi video na picha kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Karibuni wakuu!
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wanabodi wa jukwaa hili, WASALAM. Nina simu zangu mbili, moja ni VODAFONE (VFD 200). Inatatizo la network unlock pin kwani baada ya kufanya updating ya configuration setting ikakata network...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wadau. Naomba msaada wa kuifanya portable wireless modem iweze kusoma line za Tz.
0 Reactions
1 Replies
575 Views
Habar, husika na kichwa hapo juu Nimenunua Samsung Galaxy note3 ni 2nd hand lakini sasa tatizo ni sauti inayotoka kweny headset huwa ni sikio moja tu la kushoto. Natanguliza Shukrani za dhati...
0 Reactions
8 Replies
966 Views
Wakuu heshima kwenu,nina tumia hiyo simu kwa mda sasa..but imeanza tatizo lankustack stack....nikiweka lock na kutoa inafanya kazi kama sekunde 10 hivi then ina stack tena..nimeifanyia factory...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom