Naomba msaada wa kuunganisha router ya TP Link na modem ya 4G ya Vodacom. Nikiunganisha modem moja kwa moja kwenye laptop napata internet, ila nikiunganisha na router hakuna internet...
Habari,
Nina web system ambayo nahitaji ifanyiwe maboresho mbalimbali lakini nimewatafuta web developers wengi na wakiwemo zaidi ya kumi wa humu Jf ili wanifanyie kazi hiyo na tumekua tukizungumza...
Habari wana Jf leo ningependa tushee best shooting games za pc kwa wale wanaozipenda mimi naanza na hizi.
call of duty modern warfare mw3
call of duty modern warfare mw2
call of duty modern...
Habari Zenu Wakuu..
Je! Ni Games gani unacheza right now?
Iwe Kwenye any Device au Console..
Pc
Playstation 1,2,3,4
X Box 360,One
Android
Iphone
I'm currently playing Need For Speed Hot...
wazima?natumai mmekuwa na jumapili njema.naombeni msaada kama kichwa kinavoeleza..ni app gani nzuri ya kudownload nyimbo kwenye simu za iphone?karibuni..
samahani kwa wadau kuna program (game) nimedownload mpaka ikamaliza 100% kwa kutumia idm, sasa wakati wa ku extract kwa win rar imeshindwa kumaliza inaonyesha kuna file ndani yake limecorrupt...
Pengine umewahi kuota sikumoja unaweza kufanya uchunguzi kidogo katika computer yako au computer ya mtu mwingine , kujua alifanya nini , vitu anavyoweka katika computer yake na mambo mengine...
Habari,
Nina web system ambayo nahitaji ifanyiwe maboresho mbalimbali lakini nimewatafuta web developers wengi na wakiwemo zaidi ya kumi wa humu Jf ili wanifanyie kazi hiyo na tumekua...
Habari za majukumu wana jukwaa...
Naomba moja kwa moja niende kwenye mada naomba msaada maana laptop(HP COMPAQ)yangu inanisumbua inakataa kuunga Internet nimejaribu njia kadhaa inagoma...
Heri ya mwaka mpya wana JF tumeanzisha NGO yetu ya kilimo hivi karibuni na tumetengeneza tovuti yetu lkn kabla ya kumlipa aliyetutengenezea tovuti hiyo naomba wana JF wenzangu mtushauri kama kuna...
Hello wanajamvi kama kicha che habari kinavyooneshwa katika kujaza form ya shipping address kuna mambo kadhaa yameniwia ugumu.
kama picha inavyyonesha hapo kwenye State/Province/County na Kwenye...
Habari zenu wana tech,
Najua kuna wapenzi wengi wa gaming, kuna wale wa pc, consoles na pia hata kwenye smartphones wengine huburudika pia.
Leo ntawagusa zaidi wale wa PC, lengo kuu likiwa ni...
For Web Design Services | Domain registration | Hosting Services | Mobile app Development | SEO Optimization Services | Content Writing Services
Contact us info@pawahost.com, 0687 535650...
hii hapa imekurahisishia kutembelea website mbalimbali duniani na ndani ya nchi ...ushawahi kujiuliza website mbalimbali tovuti zake...
jibu lako liko hapa TOVUTIZOTE LINKS pata tovuti za wizara...
Hii ni note 5 imeanza hilo tatizo kama week mbili sasa niki restart au kuiwasha kawaida huwa inaganda hapo kama dak 15 hivi then inawaka kawaida... msaada kwa anaejua shida ni nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.