Guys, nina hiyo simu naiangalia kama picha nimejaribu vyote sijaambulia kitu, google play haisomi, nimepata Estore inabagua apps, Amazon store ndio kabisaa apps nyingi hakuna.
Anayejua hizi...
Habari za muda huu ndugu zangu.. poleni na swaumu kwa wale ndugu zangu waislamu..
Nimeandika codes za website kwa kutumia HTML na CSS (static website) na natamani nizifanye kuwa dynamic website...
Wadau tafadhali,
Ninahitaji msaada simu yangu imeganda hapo then nimejaribu sana kudownload firmware zake nyingi kwenye site ya samsung ila bado sijapata ambayo inaingiliana na hii.
Naomba...
habari wataalamu naomba . mwenye link ya cracked version ya dr fone anisaidie au mwenye key zake nimejaribu ku search online napelekwa kwenye site fake kila muda sijafanikiwa.
shukrani
Nimekuta comp yangu ina Virus crab ransomware, File zote zimeongezewa extension ya .crab kama xlsx.crab
virus ame encrypt all files and pictures na ukifungua inakuja makorokochoo tu
Wakuu, nilikuwa na install App ya Whatsapp kupitia Google play.Likaja neno downloading pending na hivyo kukwamia hapo kazi niliyokuwa naifanya.
Niliposhuka chini ndipo nikakutana na maneno...
Nina project yangu inakaribia kufika hatua za mwisho kabisa ila kuna baadhi ya vitu ninapata shida jinsi ya kupata solution yake.
Na shida yenyewe ni kwa upande wa mobile money payment yani...
Nina kitabu nataka nikiweke online watu wakipate dunia nzima na pia nikiwekee mfumo wa kukilipia mtu akikitaka lazima alipie ndo akipate.
Msaada hapo nifanyeje?
Hi guys,
Nimeona maelezo mengi mfano kwa kiwango na wengineo kuhusu kuunlock aina hii ya modem na mimi nilishawahi kufanya hili jambo.
Lakini nimefeli na sababu hasa ni pale ambapo ninapoanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.