Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa mtaalamu yeyote wa Android naomba anisaidie namna ya kutatua tatizo hili kwenye simu yangu. Lilianza kwa line moja ila kwa sasa linasumbua kwa line zote mbili. Simu ni Redmi3S Android version...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa kitaalamu, Simu yangu Samsung grand prime plus nili erase ila kwa sasa imeniletea colour ambayo nikifungua picha zinaonekana na hiyo colour. Nawasilisha wakuu
0 Reactions
2 Replies
836 Views
guys naomba kujua namna ya kutumia mouse moja kwenye computer mbili tofauti. i saw it somewhere. thanks
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za majukumu wadau wa hii page? Naombeni msaada wa mawazo. Nina laptop aina ya HP EliteBook 2540 p toka jana nikibonyeza keyboard hairespond mpaka ubonyeze kwa muda mrefu kama simu za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kampuni gani ya tehama Tanzania inatengeneza tovuti nzuri, za kibunifu na za kuvutia?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa mtumiaji wa samsung smartphones tangu galaxy s2, sasa nafikiria kubadili brand, kupata new expirience. Nimevutiwa na hii oneplus 6 ina specs nzuri, na good reviews but sina uhakika kuhusu...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakuu habari.. Polen na majukumu ya kulijenga taifa letu pendwa!! / Nimefunga king'amuzi cha startimes cha dish na kinafanya kazi vyema.. Pia nina decoder ya startimes ile ya antena niliyokuwa...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Nikitumia simu yangu kuingia JF kabla sija log in nakuta tayari imeshaniandikia jina ni kujaza passwad tuu nashindwa ku off hili tatizo maana wasiwasi wangu kama akashika simu yangu mtu mwingine...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wadau, naomba msaada kwa wataalamu wa computer. computer yangu imezima ghafla nimejaribu kutoa betri na kuirudisha tena lkn wap, nimejaribu kubadilisha adapter pamoja na betri...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari Zenu wakuu? Nina shida kujua jinsi ya kuweza kuitumia ipad 3 kwa kupiga simu na kutuma text messages za kawaida, inasupport sim card but huwezi piga simu wala kutuma text za kawaida pia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari Wana JF mimi ni Graphics designer nilikua nahitaji niwe na photo studio nahitaji wazoefu WA mambo wanijuze no vitu gani vya msingi vya kuanza navyo ambavyo vinafaa, Nina kompyuta na Camera...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Nimepotelewa na Simu juzi. Kwa mujibu wa watu kadhaa, inasemekana kwasasa Simu inaweza kupatikana hata kama watatoa Line. kuiflash, etc. Naomba mwongozo na mtiririko mzima wa jinsi ya...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habarini laptopnyangu (HP probook 6360) imegoma kuwaka ghafla karibu wiki sasa .baada ya kukaa mayo muda naichunguza nikagundua vitu vichache 1. Nikichomeka charger moto unaingia na taa ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Amani iwe pamoja nanyi wakuu. Kwa wale wadau wa smartphones hasa wale wanaoelewa internal (software) specs na external(hardware) , Chaguzi ipi inaweza ikawa sahihi kwa mtu anyetaka kununua...
0 Reactions
63 Replies
10K Views
SSD vs HDD | StorageReview.com - Storage Reviews
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Jaman kwa wale wanaouza pc kwa laki mbili naitajiiii
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada wakuu, juzi nilikuwa napitia MUST prospectus nikakutana na iyo course ya MechTronics sasa nimepata maswali mengi kuhusiana na hii course bila majibu 1. Hii course ina contains both...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa mtaalamu yeyote wa Android naomba anisaidie namna ya kutatua tatizo hili kwenye simu yangu. Lilianza kwa line moja ila kwa sasa linasumbua kwa line zote mbili. Simu ni Redmi3S Android version...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Samsung yatangaza tatizo kwa simu za galaxy s5 s6 s7 na note4 kuwa na tatizo la system ui ambapo huji reset yenyewe na kufuta data zote jinsi ya kutatua tatizo uwena na -earphone za samsung -usb...
0 Reactions
3 Replies
406 Views
Back
Top Bottom