Kuna wadau wanaomba ushauri kwamba wakisoma electronics watakuwa na uwezo wa kutengeneza radio, TVs na amplifier za Aina zote? na je, ni mpaka level gan ya electronic wataweza kutengeneza vitu...
an operating system wasn't found.Try disconnecting any drivers that dont contain an operating system.
PRESS CRTL+ALT+DEL to restart .
Naandikiwa hivi pindi nkiwasha pc aina ya TOSHIBA SATELLITE
Habari wanajukwaaa
Msaada nina laptop yangu hapa imeanza kusumbua batani,
Kuna baadhi ya batan hazitaki kubonyezeka.
Kuna Q,W,E,R,T,Y,U,I,O,P
Pamoja na enter haifanyi kazi.
Hapo tatizo litakuwa...
Jamani anaye ijua vizuri lg v10 au aliye wahi kutumia naomba ushauri wenu nataka kununua ipo vizuri kikamera, betry, storge yake pia mengine ambayo cjayataja mtayaongezea
shukrani,karibuni kwa...
Habari za majukumu kaka na dada zangu hapa jf. Samahani ninataka kubadiri gmail account kwenye play store ya simu yangu lakini nashindwa. Natumia samsung galaxy grand prime pro. Naombeni...
You have secret connections and you wish to hide all traces of communication? Then this software is for you! This application allows hiding SMS messages, deleting records from system calls log and...
Habari wadau?
Nimekua nikizipitia hizi platforms kwa muda ila bado sijapata jibu kamili!!
Je kati ya magento na woocommarce ni ipi nzuri hasa kwa website inayotarajiwa kuwa products nyingi...
Nimepata simu aina ya Alkatell inatumia laini moja tu tena voda na upande mmoja tu. Upande wa pili haisomi lain yoyote hata ukiweka voda inadai password isiyojulikana.
Unaweza ku isaidia
Habari zenu wana JF
Naomba mtu ambae atakua anaju wapi unaweza kupata hii cm
Nokia E6-00
Nokia E5-00 au kama kuna mtu anaiuza iwe kwenye good condition ani pm nahiitaji sana.
Asanteni
Siku hizi kila mara au kila Siku utasikia na kuona Watu mbalimbali ambao wanafanya makosa mbalimbali ya Kimtandao wanakamatwa na Mamlaka husika kiurahisi sana kisha wanashtakiwa na kwenda kuanza...
Habari za mida hii waku.....
Kichwa cha habari hapo juu chahusika
Hi cm natumia tecno k7 cjui ina matatizo gan yan nikiwa natuma txt za kawaida hazitoki nikiwa nimeeka neno sex yan ni...
TUNADESIGN WEBSITE NZURI, yenye kubeba Maudhui ya biashara yako, shirika,NGO's,Shule,Kanisa ama kampuni yako,ni kwa gharama nafuu Kabisa.
Ni aina gani ya Website Unahitaji?
1.Website ya Chuo au...
Habari JF....
Jamani my Canon camera lenzi yake imestuck...yani haitoki nje yote...sijui nielezaje but ndo hivyo.
Ilianguka kune mchanga bahati mbaya, sa sijui kuna particles ziliingia mana hata...
wana jf,
naomba msaada wa bei ya ku host web tanzania ,size ya 2gb na bei ya domain name registration kwa makampuni ya kitanzania bei ningependa kujua jinsi ya kuwasilisha malipo
Habari wana jukwaa!
Nilikuwa naomba kujua kiundani kabisa kuhusu hizi chanell za YouTube.
Kuna channel ambayo niliipenda sana na mara nyingi huwa napenda kuiangalia, kama huyu ndugu yetu...
Habarini wadau, Nina king'amuzi Cha Azamu toka Juzi naona kinaniandikia hivyo, nimeenda mpaka kwenye factory default bado tatizo Ni lile lile,
Kwa uchunguzi mdogo nimegundua dogo alichomeka...
Heri ya mei mosi!
Leo nilikuwa nataka kumquote mtu flani kwenye comment yake, lakini nilishazoea kubonyeza sehemu ya Reply lakini nikajikuta nimebonyeza sehemu ya Quote ukatokea ujumbe huu...
msaada,
kwa wale ambao wamejiunga na seebait, hivi kwenye kurequest money kuna njia zipi, maana sina bank acc.
napenda kujua kama wanaweza kukutumia kwenye mobile payments zetu kama vile m pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.