Nifanyeje wakuu juu ya tatizo hili? Maana Nina Tecno WX3 hi inadownload na kufungua mafaili bila shida na wakati huo hii TECNO SPARK 2 inadownload mafile lakini haifungui.
Habari ya majukumu wanajamvi. Samahani kuna dogo anasimu mbili na anataka kuuza moja. Kanipmba ushauri lakini mimi sina ujuzi kuhusu ipi ni simu nzuri. Hizi simu zina miezi 2 tangu apewe kama...
Oy wana jf Nina pc yng mpya aina ya HP kila nikijaribu kudownload game kama pes 18 kuna sehem ya kuactivate key inasema sorry no offers for ur country this time kwa wale wataalam plz nisaidie...
Tips to Detect Invalid Click Activity
1) The CTR between 1% to 11% is usually considered normal. If CTR goes above 20% then you should consider doing something about it. If you get 25 clicks in...
Habari wadau,
Akaunti yangu ya Gmail imejaa na nataka kuongeza plan kwa kuilipia ili niendelee kupata huduma, tatizo ni kuwa njia za kulipia wanaonesha nilipe kwa VISA tatizo ni kuwa sina...
Habari wanajamii forum
Nimekuwa nikipata tabu sana katika kuielewa database hasa kipengele cha DATA RELATIONSHIP katika microsoft Access ambazo ni
1.ONE TO ONE RELATIONSHIP
2.ONE TO MANY...
Nina siku tano nashindwa kutumia pc yangu kwa uhuru kwa sababu ya ttzo la keyboard na touch pad....
Nilitumia driver pack kudowload driver za audio kwenye pc yangu kilichojiyokeza ni kuanzisha...
Wakuu naombeni msaada wa kuondoa password kwenye android phone aina ya CMX one ME.
Njia nilizo jaribu
1. hard reset inafanikiwa lakini cm ikiwaka 1 minute password inarudi
2. Soft reset baada ya...
Naomba kuuliza je kutumia inverter kwa matumiz ya ufundi simu je inafaa? Na iwe na sifa zip?
Nahitaji kufungua banda la ufundi simu na laptop, sasa sihitaji kutumia umeme wa tanesko,nahitaji...
ndugu wana familia naomba msaada wa kurudisha email yangu
chanzo cha email kugoma kufunguka ni baada ya namba niliotumia kuifungulia kupotea na kutowezekana kuirudisha
email ni ya google...
Wakuu habari za uzima!naitaji msaada wenu jinsi yakulitatua tatizo la simu Mara kwa Mara inaleta mwanga mweupe bila kudisplay maandishi yoyote Yale mpaka niizime niwashe Mara kadhaa ndio inakubali...
Nataka niwape dondoo kidogo namna ya kupata unlimited internet ya wiki/mwezi au hata mwaka
www.your-freedom.net
Your Freedom - ACCOUNT
Ingia kwenye website hiyo hapo juu jaza taarifa zako zote...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, naomba muongozo wa namna ya kuuza bitcoin zangu kule local bitcoins na kuepuka kutapeliwa, kwa waliowah kuuza bitcoins zao kule naomba kujua hatua kwa hatua za...
Imekuwa kawaida kwa emails za watu kubambwa katika hatua mbalimbali hadi kupitia kwa servers. Kuna hii email protonmail.ch au protonmail.com inakuepusha na shida hizo. Ukitumiwa email hakuna cha...
Kutokana na Errors nyingi zinazojitokeza katika computer kwenye uchezaji wa Game fulani leo naleta thread maalum kwa ajili ya kusaidiana kwenye kutatua errors hizo
Error zipo nyingi sana pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.