Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini Wadau, Kichwa cha habari chajieleza, ninaomba kujuzwa mambo mawili: 1) Je ni mtandao upi wenye kasi zaidi wa internet kati ya Vodacom na Halotel? Na nikitaka kununua line ya 4G ya...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
Teknolojia imefika hapa.
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Waanzishi wawili "Founders" wa WhatsApp ambao waliunda kampuni hiyo na baadae kuiuza kwa kampuni ya Facebook kwa $ Billioni 19 sasa wote wameacha kazi Facebook. Hii inatoka na kutoelewana na FB...
8 Reactions
64 Replies
8K Views
Wakuu Kwema nahitaji msaada wa haraka simu yangu iphone 5c inaseaching tuu japokua sim card iko poa nimejaribu kubadilisha sim card tatizo bado lipo hata nikitoa sim card bado tuu ni searching.... tuu
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini. Naombeni link ya kudownload au msaada wa kuzipata drivers za wifi za samsung windows 7 ultimate 32bit. Pc yangu nilibadilisha window sasa nashindwa ku connect na wifi. Msaada please...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
SatLex Digital :: Technology :: Calculators :: AZ/EL Calculator
0 Reactions
1 Replies
37K Views
Habari ndugu zangu, kama title inavyojieza naomba msaada wa ku update samsung j5 prime android 6.0.1 to current version ya android. Before niliangalia youtube jinsi ya kuupdate nikakwama kwenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa walio wai kufanya sdcard kuwa internal memory Kwenye android "M" marshmallow wameona matokeo yepi kulinganisha nakuitumia kama external
0 Reactions
3 Replies
508 Views
Nitawezaje ku restore cm ambayo sio smart phone ili niweze kutoa password? Maana kuna mtu alikuwa anaichezea matokeo yake akai lock kabisa! Aina ya cm ni tecno ila ni ya keypad co smart phone...
0 Reactions
15 Replies
16K Views
Najua hili sio swala geni kwa baadhi ya watu ila wapo wengi ambao hawajui so sio vibaya kufundishana kwa faida ya wasiojua Katika maofisi mengi kumekuwa na Free network ya Wifi ambayo huwa na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Jipatie Information Technology Certification Online Certification Exams From NCSA
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Nimewaletea application hizi .nanyi muweze kunufaika nazo ni application nzuri na nitaendelea kuwaletea kila kukicha huu ni mwanzo unachotakiwa ni kuupload na kuinstall kwa simu yako .. haswa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Katika sayansi watajwa hapo juu wanahesabika kwamba wana mchango mkubwa. Tukianza na NEWTON anajulikana sana uvumbuzi wa laws of motions na pia wengi wanafahamu kuwa amegundua hesabu ikiwamo...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
nataka kioo cha huawei G660-L075 mwenye nacho anicheki
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wadau nina swali moja dogo naomba msaada. Hivi ukipost picha au video kwenye mtandao let say Instagram watu wakiiangalia wanalipia pesa kwa njia ya data. Nani analipwa gharama hiz za...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba mwenye msaada wa karibu anijuze. Nina device ya 4G LTE, model yake ni UWR-200K. Anayejua Default wep key yake anijuze.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimetengeneza simple website ambayo Itawakutanisha wakulima na wafanya biashara mbalimbali wa mazao. website hii itakua inaweka matangazo ya wakulima au wafanya biashara ambao wanauza mazao yao...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
asalaaam... Nahitaji msaada wa jinsi ya kuona inbox message ya yahoo yangu, niko na account yake nakumbuka user name na passoword; nikilog in inanambia niverify, tatizo nilichagua email, na hiyo...
0 Reactions
3 Replies
909 Views
Nimekua nikijiuliza Pamoja na kuwa very expensive, hakuna iphone yoyote inayoweza kutunza chaji kwa 24hrs Data ikiwa switched "on" kinyume na Simu za tecno ambazo zinapatikana kwa bei...
9 Reactions
152 Replies
17K Views
Habari za jioni. Tanzania inaongoza barani Afrika kuwa na watumiaji wengi wa Mtandao wa Instagram. Wapo wanaotumia mtandao huu kwaajili ya biashara na wapo wanaotumia kinyume na jinsi...
6 Reactions
75 Replies
33K Views
Back
Top Bottom