Mkuu hongera sanaa kwa hatua ulofikia ya kuon kuna umuhimu wa kutumi elimu ulonayo ya masuala ya computer kusaidia wenye matatizo.
Naomba msaada wako me natumia hp 250 g5 w10...
Nili update...
Naomba ushaur katika mashine ya photocopy, ambayo ni bora kwa maana ya matumizi ya shule kama mitihani na ofisini. Pia tukizingtia kigezo cha wino. Maake nmeambiwa kuna zingne wino wake ni ghari...
Wakuu habari.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Haya makampuni makubwa ya simu, sana sana Samsung, wana products ambazo wanzitemgeneza kwaajili ya Africa na nchi nyingine za kimaskini?
Sina...
Simu yangu Samsung galaxy J 5 prime browser inajifungua yenyewe na kufunguka website za ajabuajabu..tatizo ni nini? Je ni virus? Maana hii simu ina function ya device maintenance nimejaribu lakini...
Habar wana tech, naombeni msada wa namna gani ninavoweza kufuatilia mzigo wangu nilouagiza kutoka uk ni simu aina ya htc s one kutoka kampuni ya igagatz
email yao ya mwisho baada ya kuwauliza...
Habarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04
Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS
So naomba msaada
Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada
Wakuu heshima zenu,
Samahani naombeni wataalamu wa mambo mnisaidie link au namna ya kuipata FTS 18, (first touch soccer) binafsi nimejaribu kuitafuta bila mafanikio ..
Au maelekezo ya namna ya...
wapendwa naomba msaada wa namna ya kuifanya application yangu ya facebook iwe wakati naperuzi zinapoingia post mpya iwe inaonyesha pale juu.
Maana kila nikidoload naipata hii ambayo ukitaka post...
Hbr wana jamvi, nina bajeti ya Tsh 350,000/= Je ni Tv gani nzur ya kununua. ?
Mawazo nilionayo ninunue LG inch 24 au Star X inch 32.
Ushaur wa brand nyingne unaruhusiwa pia?
Asante.
Natafuta wawekezaji, watakaoweza kuwekeza na kunipa support(finacially) katika project yangu ya e-commerce ambayo ni yakitofauti ikilinganishwa na makampuni kama kupatana, zoomtanzania ambazo ni...
Natumia Zantel SIM kwenye unlocked Wi-Fi router.Je upo uwezekano wa ku check bundle balance bila kuitoa SIM kwenye router na kupiga *102*03# ? Zaidi unaweza kutuma sms kwa kutumia router je...
General taya wakuu member tajwa hapo anajiita General taya ni tapeli tena nimuite kibaka humu jamii forum kawa tapeli watu wengi kwa njia ya kuwaijia inbox anawambia kua anawaconect Na VPN mfano...
I'm going to start a thread with a few tips that have been posted throughout the forums. If you have a new TIP, please add it directly below this main heading by adding a new subject title...
Wakuu,msaada unahitajika wa hiyo kitu hapo juu.Mimi ni Land surveyor,naihitaji hii AUTOCAD LAND DESKTOP DEVELOPMENT kwa ajili ya kazi zangu katika masuala cadastral surveys.Kabla sijaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.