Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mm nimpenzi wa game za mpira wa miguu za kwenye simu za ándroid kama kuna mtu anazo nzuri naomba aniwekee link ya games zenyewe hasa za fifa asante
0 Reactions
14 Replies
13K Views
Wakuu habari za usiku Kwanza nianze kwa kusema mm sio mpenzi wa michezo hata kidogo. Sifuatilii ligi yoyote duniani kwa sababu sina interest wala motive ya kufanya hivyo. Ila atleast inapofika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kwa neema ya Mwenyezi inayotupa uzima. Wakuu mimi nipo Dodoma naomba kuulizia bei ya Nokia E6 kwa dukani kabisa, Maana nimetembelea site mbalimbali naona tu last sold price. Je kwa hapa tz...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
I
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Msaada nikipigiwa cm kwa no yangu 0676549460 naambiwa no imefungiwa msaada nifanyaje?
0 Reactions
3 Replies
712 Views
Nahitaji kujua ni simu gani naweza kuipata kwa kati ya Tsh 300,000 mpaka 325,000 .lakini isiwe tecno.na chipset take isiwe mediatek ,regardless kamera.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mafundi wa umeme naomba ushauri wa kitaaalam natumia umeme wa Generator kubwa tatizo linalonikuta ni kwa mara nyingi generator imekuwa inazidisha umeme ghafla na kuniunguzia vifaa vyangu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada kama kichwa cha habari kinavyojielezea
0 Reactions
12 Replies
5K Views
mimi ni mpenzi mkubwa wa kutazama channel hii ya emmanuel tv, lakini kwa kipindi cha wiki mbili sasa channel hii imekuwa haipo hewani kupitia decoder ya Azam. je wadau wengine pia mmeliona hili...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu habarini!!!!!!! Hivi inakuwaje unakuta simu ina RAM eg. 4GB af unakuta 3GB zinatumika na System af ww unabaki 750MB kwa ajili ya user applications Naona nafuu turudi enzi za utumwa za RAM...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Computer yangu Dell6400 imezima screen baada ya kuhibernate haijawaka tena inaonyesha tu taa ya power on but screen hakuna kitu kinaonesha So tatizo litakua ni nn?
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Msaada wa fund mzuri wa iPhone upande wa charging system.
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Nahitaji kuwa fundi simu, redio, kamera na vifaa vingine vya electronic je naweza wapi kupata mwalimu kwa hapa dar. Na je ni vifaa gani vya muhimu napaswa kuwa navyo hasa kwa cmu?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji NAS ya two bay preferably WD au Synology fo home use. Nifuate pm
0 Reactions
1 Replies
528 Views
Leo nahangaika wakuu na hili tatizo naomba mwenye uelewa na hii kitu anisaidie ,nina files zangu zenye ukubwa wa 2TB nataka ziweka zote DROPBOX je nahitajika kununua bundle kiasi gani kukamilisha...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari Wanajukwaa, Saa tisa kasoro usiku wa kuamkia leo nilisikia kelele, ni kelele zilizokuwa zinashitusha japo sikuweza kugundua moja kwa moja kwamba ni kelele za nini na nilihisi ni kama...
1 Reactions
1 Replies
717 Views
Karibuni tushirikishane kwa sasa simu ipi smartphone ya kijanja ya kua nayo kwa bajeti ya 250k na ambayo ina * kuanzia 2GB RAM *battery 3000mAh na kuendelea *internal kuanzia 16GB na kuendelea...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habarini wapendwa rejea swali langu hapo juu kwa sisi wenye kingamuzi cha Dstv channel ya Star TV 291 haionekani naomba kujua je kuna shida ?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
msaada wakuu... nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Ikionyesha hiyo error huwezzi kufanya chochote zaidi ya kuizima tu. msaada please
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Wasalaam, Napenda kujua wenye hii program ya Drawing huwa kuna gharama gani kuweza kuinstall na kuitumia.Nikijua bei au upatikanaji wake kuna jamaa yangu anahitaji kuipata hii kitu.Wale wazoefu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom