Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kujua kama kuna app's itakayo kusaidia kujua kama simu yako inafuatiliwa, kwa maana ya sms zako zinasomwa na simu zako kusikilizwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada kuhusu tatizo la printer ni aina ya hp deskjet. Tatizo nikijaza wino Ile taa nyekundu ya kuonesha wino umeisha inawaka na nikiprint inatoa copy lakini ni iliyofifia na wakati...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari, hizi kampuni za utengenezaji wa vitu zinatofautiana Sana katika bidhaa zao hasa linapokuja suala la ubora na uimara wa bidhaa. Karibuni tushirikishane ubora wa bidhaa za makampuni haya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habari wana Tech, mimi ninamiliki simu aina ya Huawei Gr5 2017 hii simu tatizo lake ni status bar uki pull down inakataa pia muda mwingine inajifungua mafaili yenyewe unaweza ukawa unatype messeji...
0 Reactions
7 Replies
976 Views
Wadau ebu tupeane mbinu ya kuondoa hili tatizo, hapa nilipo kichwa kinauma maana kwenye $934 wameniachia $62...hata kutoka ndo hivyo haiwezekani!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
naombeni msaada njinsi ya kugundua hii iPhone ni nzima au imeharbika kama kuna sehemu ya kukagua jamani tujuzane wana jamvi
0 Reactions
2 Replies
514 Views
Wakuu habari za leo Kuna simu ya mteja alileta chaji pia kufunguliwa Email Nikajaribu kuifungua ikawa inakataa kulog in Bahati mbaya nikapata dharula ya kwenda msibani Kibandani nikaachia...
0 Reactions
3 Replies
906 Views
nina uhawei G660-L075 nahitaji kuroot nahitaji kwa kutumia pc naombeni mnifahamishe nitumie software gani na nifuate njia zipi tafadhali naombeni msaada
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Jana nimepata shida sana ktk kumfungia jamaa king'amuzi cha azam hapa Tarime, ilibidi nitumie uzoefu kwa kuedit frequency za zuku TV ndo nikainasa but kwa low quality. Kwa anayezifahamu frequency...
0 Reactions
6 Replies
23K Views
Habari za uzima wana JF? Naulizia kwa wale wataalam wa kufanya matengenezo ya smart TV. Kuna 32 LG imeunguza taa pia kioo chake kime crake pembeni kwenye kona (90°) Sasa kwa tatzo kama hilo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Apple wamerelease the new iMac pro, its a beast. Lakini price tag yake ni [emoji15] . Starting configuration at $4999. Na highest configuration at $13,848 bila tax.
1 Reactions
8 Replies
951 Views
Jinsi ya kulink HTML form na database..... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
926 Views
Ninacho ki Modem cha Smile but nataka kutumia kwa laini zote. Naombeni anayeweza ku Unlock anisaidie..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kunatofauti gani kati ya JavaScript na java? Ipi ni programming language ya kuanzanayo kama beginner ambae unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza program?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wataalam wa mambo ya IT Naomba mwongozo wa namna gani nitarudisha meseji za whatsapp zilizofutika ie backup katika simu yangu. Kwani nimejitahidi kurudisha lakini sizioni au sijui wapi...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau nataka kuinunua hii mashine naomba ushauri wa kina,,, Muuzaji anasema inajumla ya mwaka na nusu ulikuwa inatumika kweny mradi ila baad y mradi kuisha ameuziwa kwa mnada hapo ilipo inawaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mchezo mmoja naupenda sana,ambao ni sawa na kubet,naitaji kuutengenezea program ambayo itakuwa kwenye mitandao,watu watabet na kuona live kama amepata ama amekosa,kila mchezo,mshindi analipwa...
1 Reactions
2 Replies
957 Views
Nime amua kuanzisha huu Uzi kwa sababu nazani wote tunajua kwamba google AdSense ili waweze kukuruhusu uweke matangazo yao katika YouTube channel yako lazima uwe na angalau subscribers 1000 na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau naomba mnitoe tongotongo hapa! Modem ya 4G lite inaweza kushare data kwa kasi ileile ya 4G kwenye computer yoyote?? Na kama hakuna ni computer ipi inaweza kushare 4G modem kwa kasi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom