Habari wakuu
Ebana ninaomba kama kuna mtu anajua free vpn ya kweli kwa ajili ya windows anisaidie.
Nilikuwa natumia Hotspot Shield naona sasa hivi hai conect
Shukran
Kuna kipindi computer yako inakuwa imejaa sana na inakuwa ngumu kujua ni vitu gani vimejaza hard disk yako, Cha kufanya download program hii hapa
ukiifungua chagua disk iliyojaa, the n subiri...
Wadau computer yangu ni aina ya Dell ina RAM 4GB na Local disc space ni 300GB... Mpaka sasa nina documents za GB 1 tu!!!! ila kila program ninayotaka kuitumia computer inakuwa nzito sana...
Hbari za weekend. wakuu kwa yeyote anaefahamu uzuri na ubaya (pro and cons) za macbook pro naomba anijuze. ( kwa kifupi mimi ni mzoefu wa kutumia pc za window, hivyo basi nimeona nisikurupuke...
Habarini wanajukwaa, naomba nielekee moja kwa moja kwenye shida yangu ambayo imenifanya niombe msaada na ushsuri. Nina TTV yangu aina ya Samsung ni chogo na niliinunua mwaka 2013. Kuna tatizo la...
Habari za jioni.
Naombeni msaada katika hili.
Jana jioni nilisajili line mpya ya ttcl pale Mwenye na nilikamilisha process zote.
Shida imekuja nilipoweka line kwenye simu tangu hiyo jana haisomi...
Wakuu heshima mbele;
Nisaidieni kunifafanulia Je kati ya Blogger na WordPress ni ipi inafaa kwa Blog ya Biashara.
Japo nimegundua Blog nyingi za Tanzania na zenye mafanikio wanatumia...
I have been browsing Tanzanian' sites and I found out most of them are not good. Many of them are either very slow, or they don't function proper (bad links etc.). What do you think are the best...
Kitu pekee chenye thamani na chenye kuamua mstakabali wa maisha yako, utakacho kwenda nacho kaburini ni kile ulichotunza moyoni.
Swali la kujiuliza ni. Moyo wako umetunza nini?
Hakuna wakati...
Habarini wakuu nahutaji fundi mahili wa kusuka power inverter. Awe anasuka zenye ubora wa hali ya juu. And the price must be Affordable, reasonable and recommend
Coment hapa au njoo DM
Salaam wana JF.
Leo nimeamua ku share nanyi njia nyingine rahisi sana ya kuangalia channels mbali mbali za TV kupitia vlc-player ya computer yako ukiwa na internet. Njia hii inatumia low...
Wadau baada ya kusoma nyuzi humu kuhusu manunuzi ya mtandaoni hasa ebay, nami nimeweza kununua bidhaa na sasa nshatumiwa email kwamba bidhaa ipo njiani.
Sasa nilipoendelea kuangalia bidhaa na...
Habari za muda wanajanvi nilikuwa nataka nifanyie project moja ya Ku produce hologram images ( three dimension ) ila sijui pa kuanzia nikajaribu ku google lakini sijapatà good explanations ivo...
Habar zenu wakuu,
Naombeni mnisaidie namna ya kutatua hili tatizo URL YA BLOG YANGU FACEBOOK IMEFUNGIWA KILA NIKITAKA KUPOST KWENYE PAGE YANGU INANIKATALIA NAOMBENI MSAADA WENU JUU YA HILI
Wadau naomba msaada jinsi ya kuanzisha online radio na televisheni,
1. jinsi ya kupata kibali TCRA
2. Namna ya kuaproad YOUTUBE na faida inakuja je?
3. Vifaa vya online radio na televisheni
Wadau...
Hbar za majukumu wabodi.
Ninamiliki flash tajwa hapo juu. Yapata wiki sasa kuna jamaa angu aliniomba ili aitumie. Baada ya matumizi alinirudishia, ikiwa hainakitu kama nilivyompatia.
Shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.