Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wanajf naomba kujua namna ya kutumia adobe photo shop kwenye android manake wanataka mpaka ku-log in so selewi
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Wasalaam, Naomba kupata msaada wa kupata apk au namna yoyote ya kutafsiri kitabu kilichoandikwa kwa lugha ya kiingereza na kukitafsiri kwa lugha ya kiswahili? Mwenye kujua namna ya kufanya huo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hizi hapa ni sababu 10 za mashambulio ya DDoS. Soma hapa. (10 Most Common Reasons You Get DDoS Attacks) Pia unaweza kusoma hapa. DDoS is short for Distributed Denial of Service. DDoS is a type...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika thread hii tutaelimishana changamoto, faida, misaada na mambo mbalimbali yanayohusiana mifumo endeshi ya kompyuta na vifaa vingine vinavyotumia linux. Utangulizi Linux ni mfumo endeshi wa...
16 Reactions
458 Replies
41K Views
Ninaprinter aina ya HP office jet pro X476 dw, nahitaji cartridge zake kwa Hapa tz,nitapata wapi???
0 Reactions
4 Replies
587 Views
wana JF naomba masaada wa kujua simu gani kwa sasaivi ni nzuri, yaweza kuwa ni brand ya zilezile kama tecno na zingine nachotaka kujua toleo gan wametoa kwa sasaivi ni nzurii sana na bei ya kawaida.
0 Reactions
50 Replies
11K Views
Hellow wanajf mimi nina hp yenye specification RAM 4gb, hdd 320gb, core!3 processor 2.30ghz nimeweka game la mpira nashangaa kuona linastack hata kucheza imeshindikana naomben mnisaidie kimawazo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Tanzania has relied on imported technology for centuries from overseas. Suggest ways that Tanzania should adopt to lessen technology dependence.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni apps gani naweza kutumia Kwenye sim YANGU, ambayo itaweza kunisaidia kuficha apps nyengine isionekane kwenye menu, kwa mfano mm natumia WhatsApp 2 kwenye sim 1 nataka nifiche hii WhatsApp 1...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Kama title inavyojieleza ni kwamba nina desktop ambayo inashindwa ku 'read' blank / empty DVDs/CDs hivyo kuweka ugumu ktk kuchoma files, cha kushangaza ni kwamba nikiweka DVD ambayo ina file yyt...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nafahamu kuwa tofauti kuu ni mfumo wa ku-display picha, kama brightness, refraction,angle of view n.k....je katika matumizi ya kawaida tofauti ni ipi hasa ambayo watumiaji mliotumia aina tofauti...
0 Reactions
31 Replies
14K Views
Habari!. Kuna application niliwahi ikuta ofisi fulani yenyewe inafanya kazi ya kuconvert maneno na kupeleka kwenye Microsoft document, excel au pdf format. Lakini kubwa zaidi inawescan vitabu, na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ya muda huu wadau wa hapa! Nina laptop yangu aina ya Dell imemwagiwa maji na mtoto kwenye maeneo ya keyboad,kwa mujibu wa huyu chautundu wangu inaonyesha amemwagia maji kikombe kizima,huwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Chief mkwawa na wengine tafadhali nisaidieni mudau mwenzenu..............Nina it1408,kila nikijaribu kuiroot nashindwa,nimetumia apps mbalimbali kama kingroot,kingoroot,framaroot n.k lkn imegoma...
0 Reactions
7 Replies
749 Views
System yangu ya sonny imezima ghafla hyo lcd screen na nilikua natumia sana Flash sasa nadhan labda imegongwa virus je kuna namna ya kuweza kufanya kitaalam kutoa virus...na je inawezekana ku...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
habari ndugu,ninaomba mwenye kuzifahamu addons zzinazotumika kwa sasa kwa kuangalia mpira.
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Nifahamisheni wadau
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi habari. Natumai mpo salama; niende kwenye lengo kamili. Me nilikuwa naomba mtu yeyote mwenye ujuzi wa kuunganisha computer moja na nyingine kwa kutumia Network kupitia kifaa kinacho ita...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Habari mpendwa??? kwa wale wenye COMPUTER jambo hili linawahusu >jinsi ya kufunga computer yako kwa kutumia Usb flash (hackers activities] HATUA ZA KUFUATA (kuwa makini) 1. Download na install...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
MAHITAJI MUHIMU 1. compyuter yako 2 uelewa wak0 HATUA ZA KUFUATA (muhimu) 1.fungua windows CMD yako ... nenda START kisha search CMD 2. baada ya hapo CMD kufunguka .. unachotakiwa kufanya...
6 Reactions
22 Replies
8K Views
Back
Top Bottom