Habarini wataalamu...
Natumia Samsung J1 Ace, shida ninayoiona sasa ni kuwa nikifungua app fulani katika simu say WhatsApp/JF/Facebook yani kabla sijamaliza ninachokifanya inajifunga, so...
habari za kutwa wana jamvi.? Natumia tablet ya techno DP7CPRO ina ram ya gb 1 na ila huwa haipiti wiki inadai ni update application nisipo update zinagoma kabisa kufunguka hadi niflash cm je...
Wadau habari za sikukuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Naandika kwa niaba ya ndugu aliibiwa iPhone ☓ juzi na boda boda akiwa kwenye foleni maeneo ya Tabata hivyo tunaomba msaada kama kuna mtu...
Jamani naomba msaada wenu nilikuwa najalibu ku-unlock modem yangu vodafone k3565-z ili niweze kuitumia kwa laini tofauti na voda lakini sijui nimekosea wapi , nikiingiza kwenye computer yangu...
Habar za jion wana jamvi. Niko mwanza nahtaji kujua gharama, hasa za ufund kwa wiring za chumba na sebule yaaan switch na taa , pamoja na taa tatu za nje. niko mwanza kama kuna fundi certified...
Msaada je kunauwezekano wa ku install adobe master master collection kwenye Linux especially kwenye ubuntu or kuna link yoyote ile naweza pata setup za Adobe for Linux Os.
Habari wanajamvi?kwa muda nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbali mbali kwenye jukwaa hili,kuna wajamaa walikua wakitoa trick nyingi sana toka smatskills.com.kwa wiki kadhaa walikuwa hawapatikani...
Wasalaam,
Kama kichwa kinavyojieleza naomba kusaidiwa wapi naweza pata IC ya radio; LA 4496 (JVC radio) kwa dar, mi nipo mkoani but nikipatiwa msaada wa wapi naweza pata ntajua njia ya kuipata.
Ndugu wapendwa mbona kuona mpira wa uingereza ni ghali sana na DSTV pekee ndo wanarusha kwani Hamna kituo mbadala cha bei nafuu tukafaidika wote maana bila ya shs 147,000/-Tshs mpira huon.au jipu...
Nimesikia huu msemo kwa mchambuzi mmoja wa maswala ya technology-unasema "Good phone are getting cheaper and cheap phone are getting good." Mawazo yenu wadau je msemo huo unaukweli tu share mawazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.