Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wanajamvi naomba watu wanaohusika na finishing za nyumba kama kupaka rangi na decoration za ndani nahitaji kujifunza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
simu yangu imevamiwa na virus ambaye kila baada ya sekunde au dk kadhaa inatokea text kwenye screen yenye maneno "hello world" imekuwa inasumbua maana popote ulipo inatokea na kuficha kile...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hamjambo watu wa jukwaa hili? Hivi katika operators wote wa simu za mkononi ni yupi ana spidi kali kushindawengine ya internet?
0 Reactions
7 Replies
740 Views
● kutokana na hali inayoendelea sasa hivi nchini ya ku register blog na online content streamer Ambapo kama sikosei kodi yake ni mill 2 kwa mwaka. (Kwa jinsi nlivyo ona kwenye mahabari) Swali...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Habar wanajf naona cursor ya kwenye pc yangu haitulii yan kila ukitaka ku-select kitu inacheza cheza sana naomben msaada namna ya kusolve hili
0 Reactions
13 Replies
1K Views
habari wanajf nilikuwa naomba kuuliza wale wataalamu programming. kuna system ya offline imefungwa katika pc yangu..ni system ya kufanya mauzo na nununi na kuweka recordings za miamala yoote...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu ningependa kufaham kuhusu simu tajwa hapo juu, maana nina best friend wangu amenipatia but kila ninapo jaribu kufanya inside FACTORY RESET inakataa. Pia nimejaribu kufanya SYSTEM UPDATE but...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Daaah Leo nmesajili line ya vodacom ya kawaida kwa shilingi 1000 tuu Nikabonyeza *149*03# Daaah nilichokikuta sijaamini 500 -Mb 300 kwa week 2000-GB 5 kwa week 5000-GB 10 kwa week Daaah...
5 Reactions
76 Replies
9K Views
MSAADA: Nime restore to default Kingamuzi cha CONTINENTAL. Nilikua na lengo la kusech channels manana zilipotea na kila nikijaribu zinarudi local channels peke yake nikashawishika kurestore hapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu Poleni na majukumu ya kila siku Siku mbili zilizopita nilikuwa nafungua app ya afro box inafungua vizuri Ajabu Jana na leo Haifunguki Net iko vizuri lakini Haifunguki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Laptop yangu HP probook 6360b ilizima ili Hali battery ikiwa full charged na nilipojaribu kuiwasha tena imeshindikana. Nilijaribu connect kwenye umeme but still haikuwaka. Nimepeleka Kwa fundi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kupita instagram hakikisha unafollow @usichokijua
0 Reactions
6 Replies
800 Views
Wataalm naleta hilo tatizo ambalo lina kama wiki ya pili sasa, jana nikaamua ku-reset simu (Factory Data Reset) ila nashangaa bado tatizo linaendelea. pia kuna shida ingine ya mwanga wa screen...
0 Reactions
4 Replies
850 Views
Habar wanajf niko na pc aina ya hp nimehangaika sana kutafuta setting ya kupunguza mwanga lakin siioni hadi nimechoka yan sijui shida window iliopo au vp???? Msaada plz
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam Ninatafuta eBook reader device aina ya amazon kindle; anayejua inapopatikana, naomba anijuze Asante
0 Reactions
15 Replies
2K Views
ninaendelea kutoka Namna ya kuandaa maabara yako kwaajili ya kufanya majaribio ya udukuzi Sasa leo tunaenda kuangalia jinsi ya kutengeneza virtual lab katika pc yako. kwanza kabisa ni lazima...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu naombeni msaada ka kuna fundi anaweza nisaidia, TV yangu ni Samsung flat screen inch 32, leo asbh naiwasha inawaka lakini haitoi mwanga wowote, yani hata maandishi yanaonekana kwa mbali...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Hellow wana JF. Naomba msaada wenu wa jinsi ya kupata, kuinstall na kutumia android apps kwenye simu ya window. Nimejitahidi kutafuta namna lakini nimeshindwa. Natumia simu ya MICROSOFT LUMIA 950...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauliza Nina TV inamiaka nane ndani sijaitumia but niliyokuwa naitumia,,now imeungua,,je naweza itumia hii iliyokuwa ndani bila kuitumia muda?haiwezi ungua,nyaya ndani?
0 Reactions
6 Replies
987 Views
Kuna habari kuwa google wanampango wa ku block android os zote zenye uncertified google play store, hapa inatuhusu wale tulio root simi
0 Reactions
1 Replies
564 Views
Back
Top Bottom