Sio ya gharama sana ila kwa matumizi yangu inanitosha,
Tecno boomj7, niliyoinunua tangu mwaka 2015 Nakumbuka enzi hizo ndo zlikua hot cake ndo zinatoka, Nakumbuka niliivuta kwa shilingi 240,000...
Kwa jina inaitwa Fx sound zamani ikiitwa DFX, ni software nzuri kwa ajili ya kuboresha quality ya audio pindi unapozi play kwenye computer yako. Inafanya kazi ya ku restore quality utapata high...
Habari sana Jamie forum . Chief_ mkwawa naomba Msaada nimenunua simu samsung galax j7 prime, mbona haina feature za samsung. Japo iko vizuri mtandao, camera, lakini ni nzito tofauti na Samsung...
Wandugu
Nina tatizo la malware kwenye Windows 7 Ultimate. Natumia Dell Inspiron 1525 laptop. Sasa, over the past three days, in spite of having booted in safe mode and run Avast (free version)...
Kwa yeyote anaevutiwa na kuanzisha studio (yani awe part of the invention) ya Visual Effects, 3D & 2D animation na film making kwa ujumla tuwasiliane kupitia iamthebestofmykind@gmail.com
NB ...
Habari za mida wadau
Nataka kusikiliza sauti ya tv kwa kupitia home theatre system, nimejaribu kutumia waya wa HDMI(high definition media interface cable) lakini sijafanikiwa. Kwa yeyote anayejua...
Download the file in link below.
Phone must be flashed with the flashtool attached in the file.
Tecno k8 frp solution - Télécharger - 4shared - Abdillah Irumba
Goodluck
Teknolojia iliyounganishwa na mtandao, inayojulikana pia kama Internet of Things(IoT), sasa ni sehemu ya maisha ya kila siku,ikiwa na usaidizi wa smart kama Siri na Alexa kwa magari, watches...
App ya telegram ni nzuri zaid kuliko Whatssap kuna anaebishaa????
Telegram group ni 5,000 members kwa supergroup...
Pia naipenda kwenye kushare mafile km pdf, ppt, dox kwa haraka..
Kwangu pia...
Ukitaka kufuta vitu kwenye app ya crome ulivoangalia hata ukienda google visionekane unafanyaje?
Mana nimefuta lakini nikienda google vitu vya kwenye app ya crome vinaonekana
Habari wakuu,naomba kusaidiwa hili tatizo kwenye simu Samsung Galaxy Note3 imeanza huu mchezo tangu juzi.inatokea hivi kila nikifungua Play store,msaada wenu tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.