Wapendwa wakuu wa jukwaa habari zenu
Nimechoka kutumia simu flani ambazo hata makao makuu yake hatuyajui. Nataka nihamie kwa Samsung, sasa naombeni ushauri kati Samsung J7 neo na J7 prime ipi...
Habari wakuu, simu yangu Microsoft Lumia Windows 10 inanipa errors 0x8000000e. Kuna application ime-stuck , haifunguki na haikubali ku-uninstall.
Naomba msaada kwa mwenye kujua namna ya...
Habari... Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kivipi wanaweza kudukuliwa(kuwa Hacked) iwapo wapo mtandaoni.
Kwanza kabisa Wadukuzi ni watu wenye akili timamu nikimaanisha kuwa wanatumia akili mingi...
Habarini wakuu,
Natumaini mko fresh, niende moja kwa moja kwenye mada.
ni muda mrefu nilikuwa kimya kidogo kutokana na mambo ya kuongeza elimu kidogo maana wanasema elimu haina mwisho.
Najua humu...
Wakuu nijuzeni namna Nano au Micro Gps tracker zinavyokuwa inserted or planted kwenye Mwili wa Binadamu, Maeneo gani haswa huwekwa Chip izi? Je ikawekwa inakuwa inapata source of power kutokea...
Habari wadau wa jf, nina simu ya samsung galaxy note 3 inaandika unauthorised actions have been detected restart your device to undo any unauthorised changes. Na hiyo message ikitokea mtandao wa...
Wakuu,
Hii simu imenianzia hili tatizo ambalo natamani hata niipasue. Yaan kila mara sinabudi kufanya factory reset. Naomba msaada wakuu..
NB:
Tecno camon x ipo vizuri? Nataka...
Buy Legit Passports, IDs,DLs,Permits, WhatsApp (+4915735985613) Citizenship,Second Identity, Certificates, and other country documents available! https://www.onlinedocumentproviders.us/
We are...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo..
Sim yangu ina tatizo moja ambalo ni kwamba pindi unapoichaji ikiwa 'ON' haingizi moto, lakini cha ajabu unapoizima tu, ndo inaanza kuruhusu kujichaji...
Habari zenu wadau wangu wote wa JF, natumaini wote ni wazima wa afya na familia zenu. Samahani kwa usumbufu wowote nitakaosababisha ila naomba msaada wenu ni jinsi gani nitaeza kulitambua betri...
Wakuu salaam
Naomba wana IT mnipe procedure za kuactivate bluetooth kwenye PC kwa sababu nakosa namna ya kuamisha file kutoka kwenye sim kwenda kwenye PC baada ya USB kugoma kuconnect.
nawasilisha
Habari za majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,hivi majuzi niliona karatasi iliyotoka wizarani ikiwa imeainisha kodi kwa wamiliki wa vyanzo habari vya mtandaoni.
Kwa upande wangu mm...
Habarini wana jf me Leo kimenikuta kizaa zaa kwenye group moja hivi la whatsapp nimeshindwa kum leftisha admin mwenzangu wakati Maa admin wengine nimeweza ila huyo alio ni add mm na kunip uadmin...
NINI MAANA YA VOLTAGE SURGE
Voltage Surge pia hujulikana kama Transient Voltage.Ni tukio la mabadiliko ya kiwango cha umeme(voltage) au Mkondo wa umeme(Current),tukio ambalo hutokea kwa...
wadau kwema!? namba za imei zimeblock hvyo hazioneshi mtandao na ukiweka laini inasema "No network display" Msaada juu ya tuta tafadhali.
S/N.R33D30ZB6TT:
IMEI:356562050255990
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.