Nimekuwa nikipata tabu sana pindi ninapodownload Video za nyimbo katka snap tube Kisha nikiziingiza Katika Flash na kuplay Ktk deck zinagoma na kuandika unsupported file format..
Naomba kwa...
Habarini wakuu.. Kuna tablet ya samsung 4 imeanguka, sasa screen imepata crack ndogo tu ila tatizoo kubwa ni wino unaonekana umetanda juu ya baadhi ya sehemu kwenye screen..
Naombeni mnisaidie...
Habari zenu wanajamvi najua humu kuna wadau wengi kwenye sekta ya IT mimi ninahitaji kupata ujuzi wa jinsi ya kutuma ujumbe kama ule wa TIGOPESA au Halotel yani zile jumbe zinazokuja na jina...
uwa ninapenda kuandika makala za crime and investigation.
nilipata wazo la kutengeneza blog ila nikaja kugundua kumbwe adsense hawa support Kiswahili hivyo nikawa nahangaika kutafuta mbadara...
Habari wanaJF naulizia kwa wazoefu au wanaofahamu utaratibu wa kusajili na gharama za shortcode mf. 55576 kwa ajili ya kampuni, msaada kwa wenye uelewa huo.
Hacker mwenye jina la kuroi sh amedukua account ya vevo na kufuta video ambayo imeangaliwa sana ya DECPACITO yenye viewers 5B na video ya shakira yenye takribani 2.5B viewers na pia amafuta na...
Hard Disk 1TB @130,000
2 + 2 = 4GB RAM @35,000
Kioo @50,000
Keyboard @15,000
Motherboard @90,000
DVD ROM @16,000
Adapter (Charger) @18,000
Bei is Negotiable
Niko Same,Kilimanjaro or check me on...
Habari zenu wanajamvi naomba mnisaidie kutatua hili tatizo nifanyeje kuliondoa inajitokeza sana maandishi ya error message mpaka inanikera tafadhali naomba msaada wenu kwa mnaoelewa zaidi
Wakuu mambo vipi .. Hope Ur all fine...aisee laptop yangu Hp Elitebook 8840p feni haizunguki inapata joto hadi inazima yenyewe sasa nahisi ili tatizoo linaweza kuua hata motherboard .... nifanyeje??
Habari zeni wakuu
Nimereset simu yangu ya Huawei Window Phone leo ila whatsapp haipo kwenye store inasema Whatsapp is not cumpactible with your OS.Kuna njia nyingine ya kufanya ili niweze...
IPO database ya email za makampuni mbali mbali hapa Tanzania.
Iyo email list ni up-to-date na zipo nyingi sana
Uwezekano wa kuzi filter upo ukapata email list kwa ajili ya category ya wateja...
simu yangu aina ya huawei y540 imejizima ghafla nimeiflash mara mbili inatulia kwa muda wa kama wiki mbili then inazima vp hapo tatizo ni nini?na mpaka sasa nikiichaji haiingizi tena chaji
Habari wakuu.
Nilirestore simu yangu wakati narestore cjui ni betr ilikaa vibaya ikazima toka siku hiyo nikiiwasha hiyo cm ikiaanza kuwaka tu inajizima inawaka tena inajizima tena huu ndo mchezo...
Ni muda kidogo sijalog in humu kutokana na kazi na sehemu nilipokuwa ila sasa nimerejea ila kidogo kuna kitu kimenishangaza ila sijajua kama ni simu yangu au nimeseti vibaya au ni utaratibu...
Wakuu,hivi kwanini kampuni nyngi za Tz, zimekuwa slow kuimplement issue nyingi hasa zinazohusu teknolojia... Yani sisi tuko nyuma muda wote kwenye mambo hayo...
Moja ya issue ambayo wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.