Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habar!! Wanajf kuna pc hp ya mdgo angu alikua anatumia window 10 baada ya kubadilisha na kuweka window 7 kuna baadh ya vitu vilionekana kupungua Mfano kutoka bit 64 had 32 na pia ram inaandika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau Jana nimebahatika ku update facebook app kwenye simu yangu.....kwakweli hii version mpya kwenye simu yangu ni shida Simu inastak hovyohovyo Simu inakua slow Fb app yenyewe...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Leo Nimeona Tecno wameleta Software Update .....Nimedownload hiyo updates na nisha install ....Hiyo New Upandes nimeona ina Fix Some Bugs ... NB: Ikumbukwe hii simu kabla ya kufanya updates ilikua...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jamani kwa wajuvi kila nikiunganisha huu waya kwenye laptop ili niangalia picha kwenye screen ya Tv inagoma, inakuwa kama inataka kuunganishwa kisha inakataa na kuaandika no signal. So naomba...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu nina kazi yangu ya video nataka kuicompress toka 1.5gb at least to 200mb with almost the same quality. Naombeni mnijuze hiyo software tafadhali
0 Reactions
4 Replies
647 Views
Aisee hii Oginsta naona inakataa kutuma sms direct, inanambia ni Update. Na nikifuata sehemu ya ku update nakutana na play store ambapo insta ya kawaida iponUpdated. Msaada
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Maelezo yanahitaji nini. Maana kila nifanyalo ni empty
0 Reactions
6 Replies
943 Views
Habari wakuu Naomba kufahamu tofauti na maana ya 32 bit na 64 bit katika pc. Pili Je ikiwa pc game lina recommend 64 bit kuna uwezekano kuplay game hilo keenye pc ya 32 bit? Ahsante.
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Kidogo nilicho nacho nakitoa kwa wengine bure kabisa, ntakufundisha softwares za simu ujipatie kipato, maisha ya sasa ujuzi muhimu ili ujiajiri. Njoo pm, wenye uhitaji tu.
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua je ni kiburn kitabu kwenye DVD hicho kitabu mtu anaweza kukicopy na kukiweka kwenye mfumo wa Wards? Na je mtu anaweza kikisoma kwenye TV? Naomba anaye jua kwa sababu nina...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Nataka wajuzi mnifundishe jinsi ya ku update os yangu ya samsung grand prime plus kua nougt7
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Receiver yangu aina ya DigSat 9800HD ukiwasha inaleta maandishi yanayosema database empty.
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Wakuu nina pc yangu ya hp kwa siku ya tatu leo mfululizo PC inawaka nikichomeka kwenye chaji nikiitoa haiwaki. Nifanyaje ili iweze kuingiza chaji na kuitunza ili hata nikiichomoa kwenye moto...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Who wants FREE BITCOINS, The Only Legit Way To Get Bitcoins For Free and Paying to your wallet......See payment proof ! Register Link Earn Bitcoins while using Google Chrome Mining FREE Bitcoin...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
NADHANI KWA HAPA KILIO CHENU KIMEKWISHA..KWA MUDA WA MIEZI 6 SASA NAITUMIA HII..NINA UHAKIKA NAYO 100% DOWNLOAD HAPA IDM_7.0_FUll_PinocchioFX (1) - Download - 4shared - Nasmile Hacker
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamvi natumia samsung grand prime plus iko vizuri na perfomance yake inaridhisha ila kuna kitu nashangaa mbona hii android 6 ukikatak kuongeza fonts nyingin tofaut na zile za...
1 Reactions
0 Replies
843 Views
Salaam wakuu, Kama heading inavyodokeza, nimeconnect cyberghost vpn kwa muda wa dakika 12 tuu lakini nimekuta nimekuwa tracked 70 times! Hapo hua siongelei siasa, sihamasihi maandamani, simtukani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kila siku naskia serikali inasema imefanya hiki imefanya kile je ni kweli kuwa uchumi wetu umepanda???
0 Reactions
3 Replies
612 Views
Habari zenu wakuu, Kompyuta yangu (Lenovo) imepatwa na mushkeli. Inaingiza umeme na taa ya kuwasha inawaka na kuzima mfululizo lakini inashindwa ku-boot. Nimejaribu kutoa betri na kuweka tena ila...
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Hellows..asee ukiachana na kuchukia tecno. hakuna kitu sikipendi kama nikimpigia mtu mwenye tecno akipokea tuu utasikia kale ka vibration "bruuum" je wew ni kitu gani hukipendi kwenye simu za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom