Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Watalaam. Salaam na Amani kwenu. Hii ni meseji ninayopata nikiweka DVD yeyote. Ilikuwa nzima muda wote,ila kuna dvd ilibaki ndani ya deki muda miezi 2 hivi,nilipotoa kuweka zingine napata hiyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Unapoenda kununua madishi mfano Azam,Dstv,Star Times,Kwese unafanyiwa usajili kwa nambari ya simu na unapoishi.Je ni kwa nini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa wale wanao fanya kazi za you tube unaweza ongeza ujuzi hapo HESABU YA MAGAWANO KATI YAKO NA KAMPUNI Brand Owners = ($15.00) ÷ Ad network 50%($7.50) Publisher, Blogger, Monetizer...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Je wewe unatumia machine gani kuchezea games. Mimi nina PC, PS3 (Nimeuza) PS4, Xbox One.
2 Reactions
37 Replies
10K Views
Lenovo yangu partion moja folders zimepotea, zilizopo hazifunguki. Nini kinaweza Kuwa tatizo na jinsi gani naweza fix na kurejesha files zangu.
0 Reactions
1 Replies
396 Views
Wadau naomba nipatiwe msaada wa kupata hiyo app ya kukonvert saved audio kwenda word au pdf natanguliza shukran
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu nilikuwa naomba msaada hivi na novel zangu nimeziweka kwenye PDF ya WPS office sasa nilikuwa nataka google translate inasaidie kutafsiri kitabu chote ndani ya PDF Bila Bila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii, Naombeni msaada wa kuflash smartphone ambayo imejilock pin.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwema Wanandugu, Kuna ndugu yangu ana simu yake Samsung toka jana asubuhi inawaka na kuzima tu. Yaani akiwasha inakaa sekunde kama 5 hivi inazima, na kujiwasha tena, kisha after 5sec itajizima...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
By Peter Goodspeed: Dictators and the abnormal brain Cunning, cruel, flamboyant and eccentric, at times Muammar Gaddafi seemed a parody of the villains that populate James Bond novels. But...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Nina compture yangu HP Compaq Ina tatizo inaingiza chaji den baada ya mda inakata nini tatizo Msaada wada chief mkwawa na wengine wenye uelewa wa haya mambo
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Jamani nahitaji kuwatambua game designers wabongo labda tunaweza kufanya kitu cha kueleweka kama project ambayo inafanyika mbali na wakati wa kazi (free time) tu... Ni ka google employees...
7 Reactions
35 Replies
5K Views
Jamani natamani na ni interest yangu kutengeneza katuni animation kama wewe ni mtaalamu wa hili swala nipe maujanja hata kwa video au maneno ntashukuru sana natamani kufanya kama zile za vijitabia...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba msaada mwenye kujua jinsi ya kuhamisha apps,videos,photos kutoka internal storage kwenda kwenye SD card katika Tecno k7
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habar za mida hi wana jamvi. Naandika uzi huu nikiwa na hasira sana hizi tecno k7 ni mbovu na ni moja kati ya product mbovu zilizowahi kuingia hapa nchini yani nimeitumia miezi mitano sasa hiv...
3 Reactions
99 Replies
12K Views
Naombeni msaada kama kuna mwenye key za Business-in-a-Box software. nimejaribu search sijafanikiwa. Au kama kuna cracked software yake.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kichwa cha thread chajieleza. Nina shida ya kuwwka maandishi nyuma ya document yanayofifia kama wanavyofanya NECTA. Mfano neno Shomy litokee mara nyingiiiii kwenye karatasi kama background...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye key au link ya crack ya Corel Draw Graphics Suite naomba anisaidie
0 Reactions
0 Replies
605 Views
ndugu , naombeni msaada ! Nina simu yangu aina hiyo tajwa. Inanisumbua. Ukiiwasha inawaka ila haidisplay, inakaa sekunde kama tano inajizima na kurestart .muda mwingine inadisplay na kuitumia ila...
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Back
Top Bottom