Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, wasalaamu! King'amuzi changu kinachotumia antenna na pekee DVB -TT2 kimegoma kuonyesha channels hata nikisearch sipati channel hata moja. Hii imetokea baada ya kufanya factory reset, sasa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
habarini wakuu nina laptop aina ya advent nlkua naitumia vzur lakn nkasafiri kama wiki hiv narud nakuta haiwaki ila inaonesha inaingiza chaji. nahitaji ushaur wenu nfanyaje au tatizo ni nini.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Simu yangu play store imo ila inagoma kufunguka halafu unakuja ujumbe Naomba kuuliza nikifuta iliyomo apk itakubali au nifanyeje, msaada wenu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta mtu mwenye power supply ya samsung km tv yako imevunjika kioo au unayo kwa namna yoyote Ile. Size ya screen ni 40" see attached picture
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni mwenye ujuzi anisaidie , simu ilikuwa nzima ilizima charge baada ya kuicharge ilipowashwa batani zake zote 3 za chini hazifanyi kazi, lakini tarch yake inafanya kazi bila shida. Mwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anaejua bei ya hii simu naomba aniambie dukani ni bei gani mpya??? Sent using Jamii Forums mobile app Nataka nimchukulie mdogo wangu wa kidato cha 2
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wadau naomba msaada...ktk windows 10 yangu nlikua na App ya UTORRENT...sasa baada ya kurestart computer imeondoka kweny desktop na sehem nyingine kama vile star menyu... Kibaya zaidi kulikua na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesoma hii ripoti kuwa Tech Hub zinakua kwa kasi sana Africa, Nigeria kuna hubs 55, Kenya 30 na hata Zimbabwe ina hubs 13. Lakini cha kushangaza ni kwamba Tanzania inaonekana hazijashika moto...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna Mishe Hapa Ya Haraka, Inahusu Mtaalamu Wa Web Designing Na Masuala Mengine Yanayohusu Web Huko Huko...Naomba Anicheki Haraka Kwa 0744525848 Kwa Sms, Call Na WhatsApp Fresh..!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amani iwe pamoja nanyi Ndugu zangu. Kama kuna yeyote mwenye Uelewa na Tunnelguru na DroidVpn naomba anisaidie kwa hili. Nilikuwa natumiaga hii kitu back on 2011 to 2013. Sikuwahi kwenda premium...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Nawasalimuni nyote!! Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijipigania lau niweze kujilipia hata kozi ya cheti pale chuo cha sanaa Bagamoyo lakini kumbe mipango si matumizi. Kwa kipato changu nimeshidwa...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Frp solution kwa cmu tajwa hapo juu pamoja na flash reading and write. Tunaweza kukufanyia huduma popote ulipo bila kutuletea cmu yako tulipo au ukihitaji kununua solution inawezekana pi
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Watalaam,nina TCL tv flat inchi 55 sio smart tv. Kuna namna yeyote naweza kuifanya iwe smart tv niweze kucheki youtube na mambo mengine moja kwa moja. Naomba mnijuze tafadhali, nipo dsm
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu, Ni kama siku 3 zilizopita nimenunua Tv ya Sumsung M5000, 5 series yenye inch 32. Kila nikiwasha kuna picha moja haitoki kabisa hata nikiwa naangakia movie inakuwa inahama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada wakuu kurudisha network
0 Reactions
4 Replies
687 Views
Hivi hapa Tanzania ni chuo gani kinafundisha mambo ya Animation in any level?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
SMS app nikituma message inakwenda ila kwangu zikitumwa haziingii au zinaingia muda umepita msaada please
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Habari.. Nina tecno R6 ambayo imekuwa network locked Na tigo.. Naomba msaada, hata wa kulipia niweze ku network unlock. Kwa sasa nipo Iringa!
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nimeweka laini baada nusu saa ikapoteza network. Msaada wakuu natumia laini ya Voda.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom