Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu Nina kingamuzi cha Azam na Laptop yenye HDMI Port. Nikinunua wire wa HDMI nikaunganisha kutoka kwenye HDMI port ya kingamuzi hadi HDMI Port ya Laptop... Je nitaweza ona Matangazo ya Tv?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefanikiwa kununua laptop kutoka Amazon.com kwa kutumia hatua zifuatazo natumaini itawasaidia wengine. Amazon hawatumi bidhaa nyingi Tanzania hasa electronics so unahitaji kampuni ya shipping...
19 Reactions
46 Replies
9K Views
Wanadau ninatumia iphone 5 lakin kwa bahati mbaya leo imetimia wiki ya pili network imepotea kabisa siwezi kupiga simu,kupigiwa au kutuma sms na inaonesha 'No service' kwenye carrer , kwahivyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau/wakuu. Nimeflash simu yangu ya tecno w3 mkt6580 Android 6.0 hios lite 1.0 kwa kuiwekea custom rom ya lineageOs 13 yenye android 6.0.1. Imefanikiwa na inafanya kazi vizuri. Tatizo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mara ya mwisho iliisha chaji nimechaji Leo nawasha haiwaki, betri iimejaa.. Nikiweka kwenye chaji inawaka taa ya betri na kuzima ishara ya kuwa haiitaji tena chaji.. Sasa nawasha haiwaki tatizo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama inavyojulikana desktop computers nyingi hazitengenezwi na built in WiFi kwenye CPU kama zilivyo laptops, hivyo kuna kero kubwa haswa kwa zama hizi kama mtu anataka ku-connect na hotspot ya...
2 Reactions
2 Replies
7K Views
What computer programs build "graphic designs"?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau mtu yeyote mwenye simu ya Tecno naomba aende play store alaf aende settings, kisha aangalie chini kabisa aone kama simu yake imeandikwa Certified au Kama imeandikwa *Uncertified* kuna hatari...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Nina project moja ya ku-shoot video nataka kufanya kule Ngorongoro crater. Nataka kuchukua video hizo kutokea juu kwenye ukuta wa crater (crater rim) ambao uko kwenye mwinuko wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wataalam msaada wenu please,, leo ni siku ya sita nashindwa kuangalia videos mbalimbali kwenye akaunti ya Instagram!!! Nimejaribu kulog out uninstall, then come back but still the same problem...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawatakia heri ya pasaka naombeni msaada leo niliingia kwenye platform ya hostinger nimependa huduma zao nikanunua domain kwa njia ya paypal sijafanya manunuzi mtandaoni mda mrefu nimelipia pia...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Salute kwenu JF GURUS,kama title inavyojieleza,naomba mwenye kuijua hii brand ya TV inside out anipe pros and cons zake.Je,ni TV inayofaa,ubora wa picha na uimara wake uko vp?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii simu ilikaliwa kioo kikavuja wino kwa hiyo kinahitajika kubadilisha. Mwenye nacho tuwasiliane ama fundi wa kurekebisha. Nipo Mwanza. 0754995752
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana! Kama kuna mwenye ufahamu juu ya kutengeneza wireless charge especially za smartphone!... Maana nimejaribu but matokeo sjayapata niliyotegemea
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Habarini Leo nimejiunga na propeller ads sasa katika kuchagua zone ads nimejikuta nashindwa kwa sababu Mimi hua napenda sana banner ads. Sasa propeller ads hawana hio kitu. Wame andika coming soon...
0 Reactions
5 Replies
822 Views
Wakuu tach ya hii simu ipo connected together na Display ama tofauti? Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
687 Views
Za Android
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Habari wajukwaa!!. Kuna mtoto nataka kumpatia simu ya mawasiliano akiwa na shida awe ananitafuta, lakini kabla ya kumpa nataka kuiondolea simu uwezo wa kutuma sms yaani niitoe kabisa option ya...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Heri wadau. Naomba msaada wenu.Kuna machine hizi za Kichina aina ya Positivo BGH.Inarun Windows 10. Sasa nashindwa kubypass Logon Account Password. Software kwingine inafanya kazi vizuri tu,ila...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu!Nahitaji mtaalam/yeyote mwenye ujuzi wa kunipiga brush music mastering.Kwenye making beats niko fresh sasa ili kufanya beats zi sound vizuri na zenye radio/cd quality ndio shida yangu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom