Habari wapendwa..
Mara ya kwanza nilivodownload uttorent app,ilikuwa inadownload movie kwa speed sana..
Ila siku hizi speed imeshuka mpaka 2kb/s..
Nikacheki YouTube wanashauri kutumia VPN..VPN app...
PAWAHOST.COM sasa inatoa offa kabambe kwa huduma mbalimbali,Kama ilivyoorozeshwa hapo chini:-
1. Utengenezaji wa Website kwa gharama kuanzia 150,000/=
2. Utengenezaji wa mifumo mbalimbali kama ya...
Wadau habar zenu! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada!
Ni hivi nahitaji kupata PC yenye specs nzuri ktk affordable price... nkiwa na maana PC yenye uwezo wa ku run heavy duty softwares and...
Ni huawei y520 u22, tatizo kubwa ni kutoa notification tu. mara android stoped, mara gsm stoped hivyo tu kila wakati. nimejarib kuifnyia factory reset pamoja na hard reset lakn imeshndkana...
Habari zenu wana jukwaa la TGSF
kumekua na matangazo ya kuzifungia simu znazotumia mfumo wa android ifakapo mwsho wa mwezi huu wa march....Je kuna ukwel kwnye hili?
mwenye kujua chchote plz share...
Habari wakuu,
Rejea zako hapo juu,
Simu yangu aina ya m3 tecn ilianza kwa kujam sana nikaipeleka kwa fundi ikawa fresh kidogo baada ya siku tatu ikazima jumla, ni nini tatizo wakuu?
Habari wakuu,
Hivi juzi kati kuna mtu alinunua risiva ya Digisat 9800 plus HD akanunua na dish futi 8 la bati akawa anahitaji chaneli za mbc pamoja na hbo sasa nikaset uelekeo wa nilesat...
Wakuu habari? Flash yangu nikiitumia kwenye simu ya iPhone inajiweka offline baada ya muda kidogo, yaani kila baada ya dakika 2 au3 inajiweka offline lakini nikiitumia kwenye computer au kwenye...
Habari zenu wakubwa,,, naomba mnisaidie,inawezekana kurudisha picha zilizofutwa kwenye memory card zikiwa na quality ile ile? kama inawezekana nisaidieni.
Wakuu mko poa huu uzi ni Kwa ajili ya kuwakumbusha kuwa Voda wamebadili vifurushi vyao vya ofa maalum inayopatikana Kwa menyu ya *149*03# mm nimehatika round hii wamenipa five gb Kwa elfu mbili...
Habari za leo wanandugu,
Nina friji yangu kila nikiiwasha tu umeme unazima nyumba nzima (circuit Braker inafanya kazi yake)nikatafuta fundi wa kwanza akasema compressor ina matatizo, nikaona...
Salaam wakuu.
Nilitaka kubadili window kwenye laptop yangu, sasa nikajisahau kama nilifanya partion ya GPT (partion baada ya kuwa nime instal window). Sasa wakati nabadili window nikawa nimesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.